Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,177
- 14,152
Mtu akimwita mtu shetani anamaanisha ni shetani kweli? Yawezekana anamaanisha huyo mtu anamuongelea vibaya... Na mimi ndo msingi wa pointi yangu ulipo...kuna watu wamemuongelea vibaya klop na ndo nikasema mara hii keshakuwa shetani kwao... Rudi shule... Yawezekana hukuelewa vzr somo la kiswahili.Hebu onyesha sehemu mtu yeyote amesema klopp kaanza kuwa shetani
Binafsi nimejipa 37% kuvuka hatua ya pili.
If it happens tukapita ni bonus kwangu.
I don't like to be in suspense when it comes to football.
Naweka minimum expectations ili nisiwe disappointed sana tukitolewa.
Next round tunaenda, mkuu
If not 3 basi 4 goals tutashinda
Kweli EPL ni nyanya tu kwasasa maana bingwa wetu ndio huyu hata on target moja hapigi dah....
R.I.P ligi yangu pendwa EPL
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu lakini mbona hii kazi Keita anaiweza vizuri mnoo?Tunahitaji natural number 10 kwenye squad yetu this summer hawa akina Keita or OX ni kama tunacheza kamali tu kwenye hiyo position.
Mkija tutawashambuliaMkuu usipanic....hii ndio maana ya kuwepo haya majukwaa,na jukwaa hili sio la kwako peke yako,kama wewe huendi kule kwa nyumbu kaa ujue kina Penison na King Ngwaba wanaendaga kuwatia njaa...so waache nao wapumue ...
Wewe kaa utulie.
Enjoy soccer.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunapita chiefBinafsi nimejipa 37% kuvuka hatua ya pili.
If it happens tukapita ni bonus kwangu.
Nilichoona ni kuwa team inahitaji midfielder runners kama keita ambaye atakuwa na kazi ya kufanya penetrate mipira na kuvunja ngome ya upinzani hasa team kama atletico. Keira mechi kama zile inabidi apewe muda mrefu wa kucheza..
Ni maoni yangu
Mkuu usipanic....hii ndio maana ya kuwepo haya majukwaa,na jukwaa hili sio la kwako peke yako,kama wewe huendi kule kwa nyumbu kaa ujue kina Penison na King Ngwaba wanaendaga kuwatia njaa...so waache nao wapumue ...
Wewe kaa utulie.
Enjoy soccer.
Sent using Jamii Forums mobile app
: “Give it a rest you muppetHii ni story tu kama zilivyo story zingine tu,hakuna evidence yeyote ya ulichokiandika hapa,mtu yeyote anaweza kujisifia kama ulivyojisifia wewe,acha utoto ongelea soka hasa game la jana,mambo ya Shule peleka huko huko shuleni kwenu.
“Shut up yer biffWalipotea wakati umetoka bila kua na shot on target? hiki ni kichekesho aisee!
What are you doin soft lad?Napoli alikukaanga pia.
Felix na Costa ni wambovu wa kuzuia aise hivyo kama hao wakicheza gemu itakua murwa sanaaa...Kweli kabisa....hii game ipo wazi mno kwa Liver labda kama wale jamaa watakuwa na addition ya kina Felix na Costa itawabust kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
You need to get back to school palMtu akimwita mtu shetani anamaanisha ni shetani kweli? Yawezekana anamaanisha huyo mtu anamuongelea vibaya... Na mimi ndo msingi wa pointi yangu ulipo...kuna watu wamemuongelea vibaya klop na ndo nikasema mara hii keshakuwa shetani kwao... Rudi shule... Yawezekana hukuelewa vzr somo la kiswahili.