Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool’s last 4 competitive results vs Atletico Madrid:

09/10 UEL Semi-Final Leg 2: LFC 2-1 ATL
09/10 UEL Semi-final Leg 1: ATL 1-0 LFC
08/09 UCL group stage: LFC 1-1 ATL
08/09 UCL group stage: ATL 1-2 LFC

Aisee leo yeyote anatoboa 2-1 or 1-0
#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
hio game waliyotufunga nakumbuka benitez na timu yake walienda spain kwa treni.........

marudiano 2-1 ilikua at extra time kama kumbukumbu zangu zipo vizuri....... niliumia sn that day
 
Nimetumiwa link inbox, nashindwa kui kopy, ngoja nifanye mautundu nii copy

Sent using Jamii Forums mobile app
Au nikupm namba yangu unitumie 😀 😀 😀 😀



Tutumie kaka,tuone namna gani tunaweza iboresha na kushiriki ktk hafla hiyo adhiimu, koz kwenda kwenye parade Merseyside ni gumu kwa tulio wengi
 
Hakika sitegemea kingine zaidi kufuta rekodi ya Manchester United kama klabu yenye EPL nyingi...

Huu moto hauzimiki tena..

VVD akiwa kamanda pale nyuma akifanya yake...

Allison akiwakilisha..

Kati mzee baba Gini

Salah pale mbele akifanya yake...

Aaa lazima kieleweke...

YNWA
Uliyoyaona msimu huu huenda hayatajirudia katika maisha yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee hawa gonga gonga wa Rojiblancost tangu msimu huu uanze wamekamatika sana aisee... Ile intensity yao sio kama misimu iliyopita hopefully hii gemu ya Leo hawatafufuka..

Kiwango Chao sio cha kuridhisha katika gemu 7 za hivi karibuni wameshida gemu 1 tu..

Possible line ups..

Liverpool
Alisson Becker; Alexander-Arnold, Van Dijk, Gomez, Robertson; Henderson, Fabinho, Wijnaldum; Salah, Firmino, Mané

Out: Shaqiri (calf), Clyne (knee)

Atlético:

Oblak; Arias, Savić, Felipe, Saúl Ñíguez; Koke, Thomas, Llorente, Vitolo; Correa, Morata
Out: Trippier (hip), Herrera (unspecified), Félix (muscle)
Doubtful: Costa (hernia)

We are ready...

YNWA

Kikosi chako Klopp ka-copy paste.
 
Lineup
 

Attachments

  • Screenshot_20200218-224513~2.png
    Screenshot_20200218-224513~2.png
    29.9 KB · Views: 11
Kikosi chako Klopp ka-copy paste.
Honestly that our 1st team squad Mkuu.. And boys rarely fail...

Rojiblancost boys wonna copy and paste our very own Anfield atmosphere haha... Leo kazi ipo Simeon drama zake kwenye touch line ni shindaaaaa... Huku akiwanyanyua mashabiki...

If we sustain the heat for the first 30 minutes without conceding then its our game to win..

Well I won't mind a draw and finish the job at Anfield...

Come on Reds hammer the stripped Reds..

YNWA
 
Correra one to watch ni msumbufu sana...

Gomez the bearded full time guard what can I say about the boy.. Man he has made big strides big time...

Mane to soccer..

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom