Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_7740.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kutoka FB

JE UNAJUA?

Liverpool FC wanaweza kuvunja rekodi nane za Premier League msimu huu.........

Hebu tusome baadhi ya rekodi nilizowaandalia zitakazoweza kuvunjwa msimu huu na #LFC

Mustarger Coutinho

1- ALAMA NYINGI
- Liverpool wanaweza kuvunja rekodi ya alama nyingi kwa msimu. Msimu wa 2017/2018, Man City walifikisha alama 100...Kimahesabu tunaweza kufikisha alama 112.

2- MECHI ZA KUTOFUNGWA
- Kila mmoja anaijua Arsenal isiofungwa (Arsenal Invincibles). Hawakupoteza mchezo wowote katika michezo 49 kati ya mwaka 2003 & 2004. Tupo katika mbio za kuvunja hio rekodi. Hadi sasa hatujafungwa katika mechi 43.

3- TOFAUTI YA ALAMA NA TIMU YA PILI
- Man City walikua na alama 19 mbele ya Man Utd msimu wa 2017-2018. Tayari tumewaacha Man City kwa alama 25. Na utofauti huo utaweza kuongezeka kama Liverpool wakiendelea kuwasha moto huu huu. (Hii rekodi tushaivunja na sasa imeshakua ya kwetu) Tunasubiri wengine waje kuongoza ligi kwa alama 25 kama sisi.

4- USHINDI MFULULIZO
Mwaka 2017, Man City walienda mechi 18 mfululizo wakishinda. Sasa tumeshinda mechi 17 mfululizo. Wapinzani wetu wanaofata ni West Ham na Watford. Haka karekodi kashavunjwa asee.

5- SIKU YA KUTANGAZWA MABINGWA
- Man Utd (2001) na Man City (2018) walitangazwa mabingwa mechi 5 kabla msimu haujaisha. Kwa uwiano huu, tutakua Mabingwa mechi 7 kabla msimu haujaisha. Na tutaweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza kutangazwa Mabingwa mapema kabisa. Mechi zitakazobaki zitakua za kuvunja rekodi.

6- MECHI NYINGI ZA USHINDI
- Katika misimu miwili iliopita, Man City walipata ushindi katika mechi 32. Tayari tumeshinda mechi 25 na mechi 12 zikiwa zimebaki msimu uishe. Hii itakua rekodi nzuri sana kwetu kuifikia.

7- SARE CHACHE
- Man City na Tottenham walikua na sare 2 msimu uliopita. Sasa hivi tuna sare 1 tu. Dhidi ya Man Utd (1-1) Old Trafford!

8- KUMALIZA MSIMU BILA KUFUNGWA
- Tutaweza kuvunja rekodi ya Arsenal. Arsenal hawakufungwa mechi yoyote msimu wa 2003-2004. Na tuna mechi 12 zimebaki.

NOTE: LIVERPOOL FC WATAKUA MABINGWA KWA KUWEKA REKODI AMBAZO KUJA KUVUNJWA ITACHUKUA MUDA SANA. Acha tuenjoy football asee.

What a time to be alive as a Liverpool fan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ushawishi tulio nao sasa tungesajili vijana walio tayali kwa ajili ya kuja kuziba mapengo ya kina Mane hao kina Tom wenah sioni umuhimu wao kwetu zaidi ya kuja kuvuluga tu mana wata taka namba kila mechi ndo mwanzo wa mvulugano huo.

Hervit mzuri sana Catwell safi sana ukijumlisha Jones wetu Chilavel mtu nne safi Glujic hanaziada tena auzwe tu nyuma tatizo lipo upande wa kushoto tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa yule Cantwell tunaachaje kumsajili na kina Mill wana staafu?

Kipaji halisi hawezi flop angetufaa sana baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
Cantwell ni local boy wa pale Norwich kijana ni kazi kazi..

Endapo watashuka daraja huyu na beki wao Arons wanafaa kuletwa kwa wakali wekundu...

YNWA
 
Kwa ushawishi tulio nao sasa tungesajili vijana walio tayali kwa ajili ya kuja kuziba mapengo ya kina Mane hao kina Tom wenah sioni umuhimu wao kwetu zaidi ya kuja kuvuluga tu mana wata taka namba kila mechi ndo mwanzo wa mvulugano huo.

Hervit mzuri sana Catwell safi sana ukijumlisha Jones wetu Chilavel mtu nne safi Glujic hanaziada tena auzwe tu nyuma tatizo lipo upande wa kushoto tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Timo ni habari nyingine kuna jambo unalisahau unapozungumzia kuja kuziba nafasi, ni hivi sio kuziba nafasi tu mbali na yale magoli ama zaidi ya Mane yaedelee kupatikana hivyo lazima aje mchezaji anaweza kuyaleta na kwangu naona Timo ni sahihi kabisa kwa kazi hio... Sasa akija mchezaji tuyakose magoli ye Mane unadhani hata huu ubingwa tutautetea...

Pale mbele hatuhitaji wachezaji wa kuja kujaribu tunahitaji mchezaji aliekamilika..

Chelsea wameanza kujijenga upya na mipango waliyonayo ni moto hivyo Klopp na jopo lake waitazame soko kwa makini washushe nondo...

Wapo wachezaji wazuri kama Icardi, Timo, Inaki Williams nk hao wanakuja wamesheheni magoli...

In Klopp I trust

YNWA
 
Liverpool wanaweza kupewa ubingwa wa epl 2014 Kama chama cha soka uingereza kitaamua kufanya uchunguzi kuhusu udanganyifu wa kifedha uliofanya na Man City. Kipindi kinachotarajiwa kufanyiwa uchunguzi ni kuanzia 2012- 2016. Kama Man City watakutwa na hatia wanaweza kukatwa points hivyo kufanya Liverpool iloshika nafas ya pili 2014 kuwa mabingwa.

Kuna uwezekano tukachukua makombe mawili ya ligi kuu mwaka huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa Timo Werner na Jadon Sancho tunapaswa tuvunje kibubu watue kwenye Viunga vya Merseyside

Big chances missed to score this season our front three have not been clinical

1. Roberto Firmino has missed 16 chances

2. Sadio Mané has missed 15 chances

3. Mohamed Salah has missed 8 chances

Well we need upgrade upfront.. Could fancy both Sancho and Timo any day of the week.

YNWA
 
Liverpool wanaweza kupewa ubingwa wa epl 2014 Kama chama cha soka uingereza kitaamua kufanya uchunguzi kuhusu udanganyifu wa kifedha uliofanya na Man City. Kipindi kinachotarajiwa kufanyiwa uchunguzi ni kuanzia 2012- 2016. Kama Man City watakutwa na hatia wanaweza kukatwa points hivyo kufanya Liverpool iloshika nafas ya pili 2014 kuwa mabingwa.

Kuna uwezekano tukachukua makombe mawili ya ligi kuu mwaka huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pointi watakatwa msimu huu 2019-2020 sio msimu mwingine.

YNWA
 
Mkuu Timo ni habari nyingine kuna jambo unalisahau unapozungumzia kuja kuziba nafasi, ni hivi sio kuziba nafasi tu mbali na yale magoli ama zaidi ya Mane yaedelee kupatikana hivyo lazima aje mchezaji anaweza kuyaleta na kwangu naona Timo ni sahihi kabisa kwa kazi hio... Sasa akija mchezaji tuyakose magoli ye Mane unadhani hata huu ubingwa tutautetea...

Pale mbele hatuhitaji wachezaji wa kuja kujaribu tunahitaji mchezaji aliekamilika..

Chelsea wameanza kujijenga upya na mipango waliyonayo ni moto hivyo Klopp na jopo lake waitazame soko kwa makini washushe nondo...

Wapo wachezaji wazuri kama Icardi, Timo, Inaki Williams nk hao wanakuja wamesheheni magoli...

In Klopp I trust

YNWA
Mkuu ukiniambia mimi nitaje watu niliona na kiu nao kwenye viunga vya Melwood bas

1.TIMO
2.TIMO
3.TIMO
4....
5.....
6.......
 
Mkuu ukiniambia mimi nitaje watu niliona na kiu nao kwenye viunga vya Melwood bas

1.TIMO
2.TIMO
3.TIMO
4....
5.....
6.......
Hapa shughuli hii Klopp amalizane nae mapema, ukumbuke Bavarians wanamhitaji kwa vile Robert Lewandawski uzee unamnyemelea...

Timo kwanza bei yake sio ya kutisha ni £51m, umri wake pia na ready made for Klopp system..kwanza kila baada ya dakika 120 anafunga goli hii ni bora ya Mane dakika148, Bobby dakika 234 na Salah dakika 143..

Salah anakwenda Olympics Japan hivyo tutamkosa mwanzo wa msimu ujao na Januari 2021 ni AFCON hivyo tutawakosa Mane na Salah..

Kwa hali hio Klopp atoe £100m Kwa Sancho na £51m kwa Timo watue kwa majogoo.

YNWA
 
Kwa ushawishi tulio nao sasa tungesajili vijana walio tayali kwa ajili ya kuja kuziba mapengo ya kina Mane hao kina Tom wenah sioni umuhimu wao kwetu zaidi ya kuja kuvuluga tu mana wata taka namba kila mechi ndo mwanzo wa mvulugano huo.

Hervit mzuri sana Catwell safi sana ukijumlisha Jones wetu Chilavel mtu nne safi Glujic hanaziada tena auzwe tu nyuma tatizo lipo upande wa kushoto tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu tumwache Timo Werner aliyekuwa tayari proved player tumsajili Cantwell?

Anyway naamini umeona kitu ambacho sijaweza kukiona
 
FOOTBALL FINANCE - TOP 25
1. PSG (Up 1)

2. Manchester City (Down 1)

3. Bayern Munich (No movement)

4. Tottenham (No movement)

5. Real Madrid (Up 1)

6. Arsenal (Down 1)

7. Chelsea (Up 3)

8. Liverpool (Up 3)

9. Juventus (No movement)

10. Borussia Dortmund (Up 5)

11. Atletico Madrid (Up 2)

12. Barcelona (Down 5)

13. RB Leipzig (Up 3)

14. Hoffenheim (New Entry)

15. Guangzhou Evergrande (Down 3)

16. Manchester United (Down 8)😂😂😇

17. Napoli (Up 6)

18. Los Angeles FC (New Entry)

19. Bayer Leverkusen (Down 5)

20. Monaco (Up 2)

21. Leicester (Down 2)

22. LA Galaxy (Down 4)

23. Zenit St Petersburg (Up 6)

24. Nagoya Grampus (New Entry)

25. Inter Milan (Down 1)

The study said PSG had reduced their debt by £58m over the last year while City's debt levels had increased by more than £75m.

PSG's rise is due to an improved level of financial management that has seen them increase cash reserves and reduce debt levels, through both player sales and support from their Qatari owners.

Their annual increase in cash reserves was five times that of City's.

HOW DOES IT WORK?
Each club's Football Finance Index is calculated via five variables:

A) Playing Assets

B) Tangible Assets

C) Cash in the bank

D) Owner Potential Investment

E) Net Debt

A FFI Score + B FFI Score + C FFI Score + D FFI Score – E FFI Score = overall FFI score

European champions Liverpool's squad value increased by 22 per cent to over £830m but have a low level of cash and benefit from ownership wealth at £1.9bn is limited compared to their rivals

YNWA
 
Liverpool wanaweza kupewa ubingwa wa epl 2014 Kama chama cha soka uingereza kitaamua kufanya uchunguzi kuhusu udanganyifu wa kifedha uliofanya na Man City. Kipindi kinachotarajiwa kufanyiwa uchunguzi ni kuanzia 2012- 2016. Kama Man City watakutwa na hatia wanaweza kukatwa points hivyo kufanya Liverpool iloshika nafas ya pili 2014 kuwa mabingwa.

Kuna uwezekano tukachukua makombe mawili ya ligi kuu mwaka huu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nyie Watu bhana!

Kwahiyo Wazee kina Agar, Kolo Toure, na Wanoko kina Sterling, Suarez, Sacko na Coutinho watabeba ndoo ya EPl? 😀😀
 
Salah Olympic!!!

Salah Afcon!!!

Mane Afcon!!!

Keita Afcon!!!

Only Bobby???

Nahisi dalili za Klopp kuspend next window vinginevyo katika Wiki 6 za Afcon tuombe Senegal na Egypt watolewe mapema sana kama itakavyotolewa Guinea ili Mane na Salah wasikose zaidi ya Michezo 4
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom