Norwich City | - | Liverpool FC |
| 6' | Norwich City | 0-0 | Liverpool FC |


Kwani kuna aliyewalazimisha wavunje sheria?
By the way! Kwani EPL ina Timu mbili tu Liverpool na Man City?
Kwanini hiyo njia ya kutawala isiwe imetengenezwa pia kwa Man United, Chelsea na Arsenal?
Unaposhindwa kupambaba pia usikimbilie kwenye visingizio
| 26' | Norwich City | 0-0 | Liverpool FC |
Hongereni mnatengenezewa njia nyeupe ya kutawala maana City watakimbiwa na baadhi ya mastaa wao. Na mbaya zaidi kikosi chao kinahitaji new young and experienced blood to offload some veteran players.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanashangilia hatari wakidhani City ndio ataisha kimchezo, kwanza wakate rufaa , ili msimu ujao yasijirudie yaliyotokea msimu huu.Naona mnagawana wachezaj wa man city mara ohh Kdb ,,aisee
Kwel nyie n liverfool
Sent using Jamii Forums mobile app