

Ila haka katimu nikiangalia msimamo wa ligi... goal difference ilikuwa inatupendelea tukatandike angalau si chini ya 3. Leo ndo nimeamini mpira unadunda wallah...
Mamamamae zao sana watu wa Norwich. Wachawi kama wafipa LOL
Longest ever winning runs in Premier League history:
1. Man City (18) 2018
2. Liverpool (17) 2019
2= Liverpool (17) 2020


sasa hivi amenitumia text akisema alikuwa kalewa ndo maana Kampa Tarimba hela kizembe hivyo