Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Lengo ukute ilikuwa ni shout out kwa Captain. Maana ukianza kuweka wachezaji wengine waliofunga itaonekana yeye si kitu.

Hilo ndiyo lengo la Media za Kiengereza kulazimisha Hendo aonekane ni bonge la mchezaji.

Hapo wamefikia kumuingiza katika list ya Top Scorer wakati wapo walio na magoli mengi kuliko yeye.

Hebu angalia kwa Maguire, Walimpaisha na kumfanya kuwa yeye ni beki bora kuliko VVD mpaka akauzwa kwa bei mbaya.

Wakataka kulazimisha ubora wa Madison lakini wameshindwa.

Sasahivi wanaforce kwa Henderson kwasababu tu kafunga magoli 3
 
Absolutely....

Yaani tunahamisha kila goli ilimradi kepten awe Messiah

I saw a banter today that neymar is cautioned for showboating, and hendo is taunted as a player of the year... Soccer is going backward

Our best player this season without a doubt have been vvd, Allison, Trent, sadio, Gomez, firmino, Gini , Salah wengine ndio wanafuatia
 
IMG_7698.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi hayo maneno wamesema kweli? Au fake hiyo?

IMG_7699.JPG

IMG_7700.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Akili yako kuhusu mpira ni finyu sanaa
Ndoa maana unaleta propaganda uzionazo wewe tu
Hilo ndiyo lengo la Media za Kiengereza kulazimisha Hendo aonekane ni bonge la mchezaji.

Hapo wamefikia kumuingiza katika list ya Top Scorer wakati wapo walio na magoli mengi kuliko yeye.

Hebu angalia kwa Maguire, Walimpaisha na kumfanya kuwa yeye ni beki bora kuliko VVD mpaka akauzwa kwa bei mbaya.

Wakataka kulazimisha ubora wa Madison lakini wameshindwa.

Sasahivi wanaforce kwa Henderson kwasababu tu kafunga magoli 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom