No need for direct replacement being bought, wampe nafasi zaidi Jones, anaonekana kukomaa kila siku kadiri anavyopewa nafasi.He may only have made eight senior appearances in total, but already Jones looks to have the physicality, maturity and confidence to take Lallana's place in the squad next season, hopefully becoming a first team regular in seasons to come

nilijua nishamzika baba kitambo kumbe bado upo hai?
Carlo Ancelotti:
Jamaa huwa anashida sana.. Naliona hilo kutoka kwenye maandishi yakeMental health is a serious issue nowadays
Hahahaha miezi Kama tisa nyuma????.......View attachment 1350842
Inaonekana captain baada ya ule ushindi kwa Barca alienda kujipongeza kwa show makini![]()
Hhhhhhhhhhh wametisha Mo na Captain wake ahhahahahView attachment 1350879
Mo ane kumbe alimuiga captain.
Hahaha jamaa kamezeshwa spirit za kitoffees angoje hukumu yake na ubaatizo wa moto .
