Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Yaani naona kabisa leave yangu inavyopata wakati mgumu.

Kuna posts zinaniuma kuzijibu ila naamua kukausha tu.
 
Anaweza akagomea olympics..


But, we need an extra attacker.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani naona kabisa leave yangu inavyopata wakati mgumu.

Kuna posts zinaniuma kuzijibu ila naamua kukausha tu.
Top reds wa humu hawajawahi kugusa hata kuta za Anfield zaidi ya kuziona kwenye screens..


Makelele yao wala yasikusumbue, they're just passengers.


Sifa kuu ya Top red ni kwenda Anfield, kama hajawahi kwenda/kufika uwanjani huyo ni mpiga makelele tu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nilichobaini ni kuwa kumbe siku zote walikuwa hawajui tulichokuwa tunakilalamikia kwa Henderson.

Sisi tulilalamikia uwezo wake kuwa alikuwa akicheza kwa kiwango kibovu,

Sasa kaboresha kiwango chake tunamsifia imekuwa ugomvi.
 
Bro niko likizo kukoment JF mpaka Liverpool avunje record ya 49 unbeaten ya Arsenal au afungwe kabla ya kuvunja hiyo record.

Ila hizi salamu zako imebidi nizipokee.
Lazima tukubali uhalisia mkuu,na huo ndio ushabiki mzuri,kama nilivyomuona King Ngwaba alivyomkubali Le capitain mchana kweupeeeeeeeeee...soka ni mchezo wa hadharani....ukiboronga tunakandia ,ukifanya vizuri sifa zitakuhusu tu.

Hongereni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji41] itabidi nifanye hima nifike Anfield kwakweli,
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Keita was so sharp jana..


If he stays injury free, he'll surpass Faby as our best MF in the club.


I mean it.

Sent using Jamii Forums mobile app

He is the most talented player kwenye kikosi chetu.

Majeruhi yanatukosesha kuuona ubora wake.

Wanaomroga wamwache hata msimu mmoja tu angalau atuoneshe kiwango chake.
 
Nilichobaini ni kuwa kumbe siku zote walikuwa hawajui tulichokuwa tunakilalamikia kwa Henderson.

Sisi tulilalamikia uwezo wake kuwa alikuwa akicheza kwa kiwango kibovu,

Sasa kaboresha kiwango chake tunamsifia imekuwa ugomvi.
Hendo is enjoying his best spell at the club, tangu aje 2011, it took him almost a decade to finally hit this kind of form..



For the fisrt time since 2016, amefunga pamoja na ku-assist in a single match, playing as an 8 (b2b)..


We all should let him enjoy this period, maana i dont think kama itakuja kujirudia tena in his footballing career.


He's playing at the very top level right now & nothing is wrong with that.


Its understandable, for his fans to be like this, they've endured a lot of his bad performances, so they deserve to be happy with this short spell of good form.



Y'all let Hendo & his fans enjoy his form, just ignore their antics, because they dont go Anfield.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

💪 💪 💪
 
He is the most talented player kwenye kikosi chetu.

Majeruhi yanatukosesha kuuona ubora wake.

Wanaomroga wamwache hata msimu mmoja tu angalau atuoneshe kiwango chake.
Man, jana kaingia tu, kaweka bonge la pass kwa Bobby..



Hakuna MF pale LFC anaweza piga pass kama ile, even Faby.


Yule short ni mtu kaka, basi tu injuries hizi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3] zumbe unanipopoa makofi kiasi hicho? Anfield ni sawa na wafuasi wa Yesu au Mtume M'hmed ambao hawajawahi kufika hata miji waliozaliwa, (kidding).

Ngoja nisake nauli ntafika mkuu kama tutakuwa hatujapigwa ban ya kusafiri kama Daud Bashite [emoji120][emoji120][emoji41]
Sasa Zumbe unajiitaje LFC fan kama hujafika Anfield au hata Melwood.

Lol.

Eeeeh?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Most PL goals scored for LIVERPOOL.

Fowler (The god) - 128

Steven Gerrard - 120

Michael Owen - 118

Luiz Suarez, El Pistorelo - 69

MOHAMED SALAH - 66.


Salah been at the Club for the last 3 years na bado ana pull these kinda numbers, and i can see him breaking Suarez & Owen records very soon, na akibaki at LFC kwa misimu mitatu ijayo, then he will go and break SG & Fowlers records.


If you cant appreciate this dude, then football isnt good for your brain & heart.



And, oh.... Replace him with Adama Traore.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lol..


Utafika tu brother..


One step at a time..



We got families to feed, so LFC & Anfield shouldnt be a priority at all.



BUT, usiwe unapigia makelele fans wenzako kwenye mitandao, kama hujawahi fika Anfield.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man, jana kaingia tu, kaweka bonge la pass kwa Bobby..



Hakuna MF pale LFC anaweza piga pass kama ile, even Faby.


Yule short ni mtu kaka, basi tu injuries hizi..

Sent using Jamii Forums mobile app

Ile pass ilitakiwa Bobby asingekuwa na haraka angefunga.

Huwa jamaa akicheza anarahisisha kazi sana ya kupata magoli.

Namwombea afya njema jamaa, tunamhitaji sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…