MkuuDo you like BS?
Hendo anafunga
Leo kafunga
Ka struggle wapi?
Sent from my iPhone using JamiiForums
ClosedMkuu
Tusilazimishane kuwaza sawa
I like the analysis
Hendo is a good player, but never our best player
Lakini kutwa mnahangaika kulazimisha tumuone Bora kuliko anavyostahili
And never call others opinions bs because you are full of it
Pumbaff
And Vardy is on a dry spell...
Yajayo yanatisha...
Mohamed Salah could miss the start of the next Premier League season with a potential call-up to the 2020 Olympics in Tokyo.
The coach of Egypt's U23s has made it clear he intends to include Salah as one of the team's three overage players.
If Salah was join the National team he would miss the preseason and start of the EPL.
Skysport
Mkuu
Tusilazimishane kuwaza sawa
I like the analysis
Hendo is a good player, but never our best player
Lakini kutwa mnahangaika kulazimisha tumuone Bora kuliko anavyostahili
And never call others opinions bs because you are full of it
Pumbaff
Ana matatizo huyo jamaa
He's going for his seat
Kwa hiyo huyo kocha ni malaika kwamba kila afanyacho ni sahihi?Sasa mchezaji anazingua kipindi chote hicho Kloop haoni anaona yeye aliyepo huko biharamulo bukoba?
Yeah Afcon aisee...Halafu january kuna mataifa ya Africa si ndiyo?
Mchezaji nyota yeyote kwa sasa lazima atatamani kuchezea hii timu...
Huu ndio uhalisia wa mambo,huwezi sikia Mbappe,Neymar n.k wakachagua Man utd,Arsenal,au chelsea.....
Kwa hili nawapa kongole ndugu zangu,mliwekeza kwa muda na mnakula mbivu sasa kwa uvumilivu wa kutosha.
hizi kongole ni kwa wale washabiki wa liverpool sio washangiliaji wa livapuli.
Amani kwenu King Ngwaba , MosDef , @Captainmarvolous , zumbemkuu , DON Cruz na mhalisia mwenzangu @Marafyale na wengine wengi waliokuwa hapa kipindi cha dhiki......
COYG.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo unafiki unamsifio Hendo utadhani ndo anaetoa mchango mkubwa zaidi ya wengine hendo tunae myaka kibao pale mbona hakunyanyua kwapa?unaacha kuwasifia wachezaji kama kina Gomes pamoja na umri wake mdogo amemudu kotoa ushirikiano bora Vvd mpaka sasa.u livyo na mihemko utazani kunakitu anakupa huyo hendo mechi 24 zote kacheza kapata goli 2 unatuambia kufunga kwake ni kawaida sasa na hao kina Salah tusemeje?Mm nashangilia EPL yetu ambayo hatukuipata kwa miaka 30
Kaka hayo ya nani zaidi kwangu hayana nafasi,imeshinda Liverpool na wote wana mchango sawa
Jamani utushangilie moment hizi tuache malumbano
Sent from my iPhone using JamiiForums
Lol, huwezi kwenda likizo from here hasa ukiwa hauko busy..Bro niko likizo kukoment JF mpaka Liverpool avunje record ya 49 unbeaten ya Arsenal au afungwe kabla ya kuvunja hiyo record.
Ila hizi salamu zako imebidi nizipokee.
Nimesikia whispers jana..Yeah Afcon aisee...
Kwa hili aje Mbappe na jana kazinguana na kocha wake baada ya kutolewa...
Edwards na Klopp naamini wapo makini kulifanyia kazi...
YNWA