Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Henderson has been A BEAST lately! Hands up.

Usahihi wa pasi 94%
2 chances created.
6/10 pasi ndefu.
2/2 dribbles.
3/5 tackles won.
Screenshot_20200130-133945.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wazee wa December na January kwamba Liverpool wataanza kupoteza mechi hivi bado wapo kweli?

Klopp kawaonesha kuwa akili zenu aziko vizuri Halafu yeye anajua zaidi yenu maana saizi mnaona aibu kujitokeza.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
If Liverpool were competing in all major top Leagues in Europe angekua bingwa kote kuanzia Spain, France, Italy, German, Dutch nk..

That is one hell of a solid statement by Klopp and the whole Liverpool fraternity...

It's by hard work...

Wakati ni wetu..

YNWA
Spain angekuwa anasubiri mechi 3 atangazwe bingwa!
 
Spain angekuwa anasubiri mechi 3 atangazwe bingwa!
Man we have waited for 30 years just to kick start our stagnant EPL trophies now we taking the thing home in such a superb accelerating style...

Bring the next opponents we are ready...

Klopp effects has worked wonders, the coaching department, the management, the scout, the fans and the boys never say die mentality...

Huu ni mwanzo tuuu...

Imagine getting Mbappe on board as we build a proper team to challenge for the next decade, we will be unstoppable...

YNWA
 
Mkuu kama unafatilia mpira hapo ni mechi na man city ndio tumebakiza ,yaani unamuogopa Arsenal? Everton tulicheza nae kwenye carabao sisi kama kawaida tuliweka kikosi cha pili wao walikuwa full mkoko lakini tuliwafunga nakuwazidi kabisa hapo uwanjani.

Kama unafatilia mpira Everton na Arsenal hawana uwezo wakutufunga ata tukichezea uwanja wao,kama tumeshinda nyumbani kwa wolves na leicester sijao timu ya kutusumbua zaidi ya man city hapo .

Mkuu utakuwa umekariri yaani unamuogopa Arsenal ndio atusumbee hicho ni kituko cha mwaka,Arsenal tumemzidi point 40.hii inaonesha Arsenal ni mbovu kupindukia.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu Everton na Arsenal wamepata walimu wapya..

Tangu Mikel kapewa mikoba pale Emirates wamepoteza gemu moja tu EPL.. Fighting spirits yao imeongezeka sana tu.. Na kingine ni kwamba kila timu tunayokutana nayo wanajitahidi kuweka historia kwamba ndio timu ya kwanza kutufunga msimu huu EPL hivyo kukaza kupo sana tu... Kabla huo uteuzi wa Mikel walikua wanachapika tu..

Na vile vile Carlo nae pale Jirani nae atakua kapoteza mechi moja tu EPL tangu ateuliwe.. Hivyo kuna wanafanya vizuri kuliko kipindi cha Silva..

Timu zote mbili Kwa sasa zina utulivu pale nyuma..

Zitakua mechi ngumu kwetu, cha kuombea ni tuwe na kikosi kamili cha kazi bila majereha...

YNWA
 
Wale wazee wa December na January kwamba Liverpool wataanza kupoteza mechi hivi bado wapo kweli?

Klopp kawaonesha kuwa akili zenu aziko vizuri Halafu yeye anajua zaidi yenu maana saizi mnaona aibu kujitokeza.

Sent from my iPhone using JamiiForums
mkuu kuna wakati huwa nawaza pengine yule msaidizi wa klop 'the brain' ndiye alikua tatzo la wachezaji kuanza kuchoka kipindi cha dec/jan........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Everton na Arsenal wamepata walimu wapya..

Tangu Mikel kapewa mikoba pale Emirates wamepoteza gemu moja tu EPL.. Fighting spirits yao imeongezeka sana tu.. Na kingine ni kwamba kila timu tunayokutana nayo wanajitahidi kuweka historia kwamba ndio timu ya kwanza kutufunga msimu huu EPL hivyo kukaza kupo sana tu... Kabla huo uteuzi wa Mikel walikua wanachapika tu..

Na vile vile Carlo nae pale Jirani nae atakua kapoteza mechi moja tu EPL tangu ateuliwe.. Hivyo kuna wanafanya vizuri kuliko kipindi cha Silva..

Timu zote mbili Kwa sasa zina utulivu pale nyuma..

Zitakua mechi ngumu kwetu, cha kuombea ni tuwe na kikosi kamili cha kazi bila majereha...

YNWA

Everton tulimfunga carlo alikuepo tayari,mkuu vizuri tusiwe tunachambua mpira kwa mazoea tukichambua mpira kwa mazoea Liverpool awezi kuwa ameshinda hizo mechi zote.

Kiualisia arsenal ni bovu sana tu,mechi 3 za mwisho mfulullizo wametoka droo na mechi zingine hapo walichezea nyumbani kama wangekuwa na uwezo wangeshinda hizo mechi.

Beki za Arsenal zinaganya makosa kibao kwa forward zetu zinavyokaba tutawafunga goli nyingi tu.walasio mechi nguvu ya mm niwe na pressure.

Mkuu mimi Bado siamini Arsenal eti atufunge.

Mkuu si kusema tunafungwo nimesema wameonyesha dalili za kuimarika baada ya kuwa pata makocha wapya kuna hio good feeling attitude...

Carlo tulimfunga FA hapa tunazungumzia EPL kaka..

Kutufunga sioni mbali itakua tofauti na enzi za akina Silva na Unai..

Jitahidi uwe unatazama mechi za timu zingine na pengine utaona ninachomaanisha kwamba kuna progress kwa hao jamaa tangu wapate hao walimu..

Pointi zetu 6 hizo tunachukua bila ubishi..

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom