game 9
not now bro, namaanisha ile front 3 yetu inahitaji mshtuo mpya, kuwe na addition nyingine pale atleast wawili.........We need him as much as he needs us, hivi ukiondoa Salah, ni striker gani Liverpool ambaye unaona ni likely kuchukua nafasi yake?
Jana niliona captain aliforce kuiingili mpira kwa salah na kumpigia pasi ya goli fimihno....ilikua ni kitendo cha ukomavu sana.Bora aende while his prove is high... Anajishusha thamani mno
NAdhani ni mtazamo wake mkuuNakushauri kistaarabu kabisa kashabikie japo Arsenal
NAdhani ni mtazamo wake mkuu
Hatuwez kuwa sawa kimtazamo
NAdhani ni mtazamo wake mkuu
Hatuwez kuwa sawa kimtazamo
NAdhani ni mtazamo wake mkuu
Hatuwez kuwa sawa kimtazamo
Punguza mihemko brother, sisi ni fans tunafurahi akifanya vizuri akizingua tunamtibua ila salah ni moja kati ya mchezaji wetu bora sana haondoki leo wala kesho
Vp kwa wale walioapa kwamba hawatakaa wamkubali
Absolutely...!Ndiyo ufahamu kuwa hapendwi mchezaji kwa sura yake bali anapendwa kwa akifanyacho Uwanjani.
Kabla ya December mimi ilikuwa Namba 1 hapa kumdharau Hendo kutokana na ubovu aliokuwa nao.
But Now ninamsifia na kumpongeza kutokana na uwezo alionao sasa.
Nadhani kwasasahivi hakuna Mtu hapa anayeweza kumsema vibaya Hendo.
kama nilimshabikia david Ngog, nina haki ya kumshabikia VVDNakushauri kistaarabu kabisa kashabikie japo Arsenal
..........