Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_7597.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu Everton na Arsenal wamepata walimu wapya..

Tangu Mikel kapewa mikoba pale Emirates wamepoteza gemu moja tu EPL.. Fighting spirits yao imeongezeka sana tu.. Na kingine ni kwamba kila timu tunayokutana nayo wanajitahidi kuweka historia kwamba ndio timu ya kwanza kutufunga msimu huu EPL hivyo kukaza kupo sana tu... Kabla huo uteuzi wa Mikel walikua wanachapika tu..

Na vile vile Carlo nae pale Jirani nae atakua kapoteza mechi moja tu EPL tangu ateuliwe.. Hivyo kuna wanafanya vizuri kuliko kipindi cha Silva..

Timu zote mbili Kwa sasa zina utulivu pale nyuma..

Zitakua mechi ngumu kwetu, cha kuombea ni tuwe na kikosi kamili cha kazi bila majereha...

YNWA
Imahitaj zaid ya timu bora kuifunga Liverpool hii ya mentality monsters

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Everton na Arsenal wamepata walimu wapya..

Tangu Mikel kapewa mikoba pale Emirates wamepoteza gemu moja tu EPL.. Fighting spirits yao imeongezeka sana tu.. Na kingine ni kwamba kila timu tunayokutana nayo wanajitahidi kuweka historia kwamba ndio timu ya kwanza kutufunga msimu huu EPL hivyo kukaza kupo sana tu... Kabla huo uteuzi wa Mikel walikua wanachapika tu..

Na vile vile Carlo nae pale Jirani nae atakua kapoteza mechi moja tu EPL tangu ateuliwe.. Hivyo kuna wanafanya vizuri kuliko kipindi cha Silva..

Timu zote mbili Kwa sasa zina utulivu pale nyuma..

Zitakua mechi ngumu kwetu, cha kuombea ni tuwe na kikosi kamili cha kazi bila majereha...

YNWA
bila kushahau Anceloti ni mwanaume wa klop anajipigiaga tu uchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama unafatilia mpira hapo ni mechi na man city ndio tumebakiza ,yaani unamuogopa Arsenal? Everton tulicheza nae kwenye carabao sisi kama kawaida tuliweka kikosi cha pili wao walikuwa full mkoko lakini tuliwafunga nakuwazidi kabisa hapo uwanjani.

Kama unafatilia mpira Everton na Arsenal hawana uwezo wakutufunga ata tukichezea uwanja wao,kama tumeshinda nyumbani kwa wolves na leicester sijao timu ya kutusumbua zaidi ya man city hapo .

Mkuu utakuwa umekariri yaani unamuogopa Arsenal ndio atusumbee hicho ni kituko cha mwaka,Arsenal tumemzidi point 40.hii inaonesha Arsenal ni mbovu kupindukia.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Arsenal wakija hawatakuja kwa ajili ya 40 pkts gape. Wao watakuja kuhakikisha hatufikii record yao ya unbeaten...hilo ndo litawapa motisha.
Everton nadhani 2 years now hatujashinda goodson...na draw yake mwaka jana ilitunyima ubingwa. Na wako radhi waende kwa mganga ili watufunge
City nae atataka kuonyesha kuwa kama ubingwa ameukosa basi lazima atufunge kuonyesha nae yupo yupo.
So mechi zote zitakuwa ngumu sababu wote wana sababu ya kutaka kutufunga.
Timu zilizobaki zote now hazina sababu na liver plus zinatuogopa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
January

Wednesday 1
Liverpool 2 - 0 Sheffield United

Saturday 11
Tottenham Hotspur 0 - 1 Liverpool

Sunday 18
Liverpool 2 – 0 Manchester United

Tuesday 21
Wolverhampton Wanderers 1 - 2 Liverpool

Wednesday 29
West Ham 0 - 2 Liverpool

100% win 💪

Kuna atakaepona hapo?
Kocha wa mwezi

Kipa wa mwezi

Mchezaji wa mwezi

Wote Liverpool
 
Mkuu Everton na Arsenal wamepata walimu wapya..

Tangu Mikel kapewa mikoba pale Emirates wamepoteza gemu moja tu EPL.. Fighting spirits yao imeongezeka sana tu.. Na kingine ni kwamba kila timu tunayokutana nayo wanajitahidi kuweka historia kwamba ndio timu ya kwanza kutufunga msimu huu EPL hivyo kukaza kupo sana tu... Kabla huo uteuzi wa Mikel walikua wanachapika tu..

Na vile vile Carlo nae pale Jirani nae atakua kapoteza mechi moja tu EPL tangu ateuliwe.. Hivyo kuna wanafanya vizuri kuliko kipindi cha Silva..

Timu zote mbili Kwa sasa zina utulivu pale nyuma..

Zitakua mechi ngumu kwetu, cha kuombea ni tuwe na kikosi kamili cha kazi bila majereha...

YNWA
Lakini mkuu wape tahadhari wakaze taratibu hizo nut zitavunjika hizo shauri yao! Hii timu sasa hivi haina cha huyu ana kocha bora sasa hivi! We are conquerors of the world!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom