mmangO
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,025
- 1,623
Ok vizuri ni mtazamo piaAaa hapana ndugu Steve bado sana CV yake ya ukocha ni nyepesi mno sipo sure kama alipo ataongezeka zaidi ya ilivyo sasa...
Tunaposema Liverpool sio mahala pa majaribio tena tunamaanisha mpaka idara ya mwalimu pia sio ya kupewa amateur coach hapo bila shaka tutakua tunarudi nyuma baada ya continuation ya atakapotuacha Klopp..
Moyes alijitahidi sana kwa bajeti finyu kuwarudisha kwenye makali Everton lakini aliishia kua wa Big 10 mara nyingi, kwenda Manchester United ilikua kwake ni kama yupo ndotoni maana ile kazi ilimzidi Kwa kila jambo matokeo yake waliona haziwezi hivyo akatimuliwa...
Steve hajafika hata robo ya Klopp apate hio direct ticket kuifundisha Liverpool maana kua club legend ni jambo moja na kufundisha Kwa kumleta mafanikio ni jambo lingine...
Otherwise ana misimu minne kutuhakikishia hii kazi anaweza akipewa...
YNWA
Sent using Jamii Forums mobile app
)
