Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Thanks a lot brother..


Just clocked, i'm free for this whole day..

So instead of watching some new series or drink some beer, lets just spoil some people's mood on here...




Shall we???.....





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza mihemko brother, sisi ni fans tunafurahi akifanya vizuri akizingua tunamtibua ila salah ni moja kati ya mchezaji wetu bora sana haondoki leo wala kesho
Mhemko gani nimeonesha hapo dude?


Mchezaji bora wa LFC ni Henderson, siyo Salah, maana Captain ndiyo kaifikisha team hapa ilivyo leo..



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli yule hendo wa 2014/2015 ameonekana tena tunaomba aendelee hivi hivi .
NB:malumbano kuhusu Hendo kwenye huu uzi yameshakwisha kitambo tangu september lakini nashangaa kuna watu bado wanagubu la kike kike kabisa humu
Henderson is the most important player in the team.

Better than VVD/Trent/Fabinho and the front 3..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Invincible yako itaendelea kutajwa kwa Maandiko yaliyopo kwenye kumbukumbu.

Na ya Liverpool iwapo itatokea itaendelea kutajwa kwa Maandiko yatakayowekwa kwenye kumbukumbu.

Hakuna kitakachotajwa kwa kutumia mawazo ya Washabiki wa Arsenal
Arsenal's invicible run was so overrated..

They had like 11 draws and got fumbled in the CL..

We're winning the league and the CL this season.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Henderson is the most important LFC player dude..


Muache Captain wetu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote nimekuwa nikiamini kucheza soka professional ni zaidi ya Kipaji, na chenga... Hendo anazidi kuprove hiki, kwa namna Hendo alivyo hakuna timu duniani atakaa nje kwenye hicho kikosi
Yes, he's better than KDB/Kante/De Jong/kroos/Thiago/pjanic/Verrati etc

They cant bench him at all, because kila manager in the world anatumia work-horses kwenye his MF.

Oh! At 6, my captain is better than Fabinho/Casemiro/Busquets/Rodri etc

My Captain.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…