Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Nikikumbuka watabir humu ndan walivyotabir kwamba le capitain atachezea Sana bench mixer kuandika magazet marefu na statistics zao Za kutosha nabak nacheka tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ukiangalial kiushabiki lazima ucheke, Lakini ukiangalia kimpira basi utafahamu tulichokimaanisha.
Ni kwamba tulikuwa na matumaini makubwa na Keita & OX kuwa wangeleta mabadiliko kwenye Timu.
But imekuwa disappointed kwa Mashabiki kitokana na wachezaji hao kuwa Wodi ya Waginjwa muda mwingi mpaka kupotea kwa vipaji vyao.
Now Hendo ameamua rasmi kuuvaa unahodha na kufanya anachotakiwa kufanya kwani sasahivi tunamuhitaji kuliko wakati wowote ule.
Kwasasa ndani ya Liverpool mbadala wake simuoni Coz kwenye Benchi kuna Lallana pekee.
So, kabla ya kufikiria kucheka kwanza fikiria factors nyingi.
Hendo kwasasa anajitahidi na sote tunamfurahia na kujiamini sasa kusema popote pale This man is our Captain .
Hongera Hendo




