Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

But kinachosikitisha Zaidi sasahivi Washabiki wa Liverpool wamegeuka wa Real Madrid.
Washabiki wa Madrid hawana utamaduni wa Kuappreciate yale yanayofanywa na Wachezaji wao.

Gareth Bale ameifanyia Makubwa Real Madrid lakini cha ajabu muda huu wanamtreat kama kwamba hakuwahi kufanya chochote ndani ya Liverpool.

Sasahivi na Washabiki wa Liverpool tumekuwa hivyo! Yani Salah anaonekana kama kwamba haisaidii chochote Liverpool na Mtu asiye na thamani yoyote.

Mfano jana katika goli la ushindi build up imetokana na Salah kuweza kumiliki mpira mbele ya Mabeki 3 mpaka akatokea Henderson akatoa assist, but anaonekana he did nothing.
 
Mkuu Paragraph ya pili umekuwa kama Musiba na wananchi wa Libya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote nimekuwa nikiamini kucheza soka professional ni zaidi ya Kipaji, na chenga... Hendo anazidi kuprove hiki, kwa namna Hendo alivyo hakuna timu duniani atakaa nje kwenye hicho kikosi
 

Thats what you see as he’s already good in yur mind
Myb asingekuwepo gem ingisha mapema
Nowdays anafanya maamuz ya kijinge sema it seams hakuna sub yake ya maana, na kama huoni anayofanya si mazuri uku kila mtu anaona including pundits na wengine mashabiki wakubwa wa liver, then we ndo uko wrong,
He’s driven by his place at liverpool and he’s forcing to be the main man, thats the problem, na tuliocheza mpira tunajua kwenye mpira ukiforce sana perfection ndo mpira unakukataa, ndo maana nilkuwa namkubali sana Van Perse


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Inasikitisha ni kweli labda Mo hakuwa na best game lakini amecheza vizuri na ni sehemu kubwa ya team sana leo hii Liverpool tuko hapa toka amejiunga na sisi hata hao tunaosema kina Lallana, Oxy, Shaqiri na Origi wamechangia sana leo kuwa katika nafasi hii na uhakika Klop hawezi kuvumulia ujinga wa mchezaji yoyote ni kwamba wote anaowapanga anaamini ndio best kwa wakati huu. Siku ukiona Salah kaanza nje utaona umuhimu wake mimi naamini kabisa wote muhimu hata Gomez kuna kipindi tulianza kumtilia mashaka leo kasimama kina Matip na hata Lovren sehemu kubwa ya mafanikio yetu. jamani wolves ni team nzuri sana lakini tumewapiga kote sio jambo dogo.
 
Wajina hata wewe? Hendo angekuwa anacheza hivi mwanzo nani angemkosoa? Yeye ndo anaumbuka asaiv maana imebidi abadilike kutokana na anavyokosolewa na mashabiki.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mostly huwa anacheza vizr
Nilikuwa namfatilia sana
Sema recently kawa envolved na goals ndo maana wengi wanamuona but we kama ni mtu wa mpira unaangalia majukum kama anayatenda vzr
Enz za zidane au viera kufunga na kuassist haikuonesha umahili wa mchezaji ndo maana akina ronaldino au Zidane ni wa kawaida kwenye stats though ye ndo alikuwa anaibeba tim
Ndo maana wengine humu wanamsifia Salah japo anazingua
Wachambuzi wa sikuiz kosa 11 funga moja watakuelewa, ila ukisaidia timu sana bila kufunga hawakuelewi

Pia jana Mane katoa pande zuri sana kwa salah salah hajafunga mane hapewi sifa unlike kama salah angefunga

Inshort wachambuzi wa kisasa magumashi mengi na wamebase kwenye stats than anything


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nipo upande wako Haiwezekani mtu atake sifa kwa huribu matokeo ya team asilaumiwe kisa alifanya mazuri? Ubinafsi wake akaufanyie bechi huko mbona tulikua tunamponda Hendo kwa kurudisha mipira nyuma? Huo ustaa wake wakubahatisha asitake kuufosi akatuharibia tim.

Tumecheza mechi kadhaa bila Salah tukawa vizuri sana tu kwa maana nafasi yake inazibika.

Tulikua na hali ngumu sana jana baada ya kutoka Mane hilo ndo pengo sasa sio Salah

Salah anazingua sana tu hata mechi Man u kazingua sana wala simpi sifa kwa lile goli akiwa kaharibu nafasi kibao za magoli.


TEAM KWANZA MCHEZAJI BAADAE

'mtindilo'
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…