Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


God bless you brother
 
Blessings of God upon u maestro
 
Nikikumbuka watabir humu ndan walivyotabir kwamba le capitain atachezea Sana bench mixer kuandika magazet marefu na statistics zao Za kutosha nabak nacheka tu [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wajuzi humu wanajua kuliko JK na wanaumbuliwa kila uchwao.....
Jana nilimuona jamaa anavyoupiga na nikicompare na maneno yao nabaki kucheka tu......

Le capitain zidi kuwaumbua mzee baba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajina hata wewe? Hendo angekuwa anacheza hivi mwanzo nani angemkosoa? Yeye ndo anaumbuka asaiv maana imebidi abadilike kutokana na anavyokosolewa na mashabiki.
Kuna wajuzi humu wanajua kuliko JK na wanaumbuliwa kila uchwao.....
Jana nilimuona jamaa anavyoupiga na nikicompare na maneno yao nabaki kucheka tu......

Le capitain zidi kuwaumbua mzee baba

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Blessings on blessings Bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…