Acha kutukana mamba mpira ni 90 na sisi yetu machoWolves alijidanganya akacheza kama anavyocheza na wajinga wajinga wengine tutamchapa mpaka achakae.
Kweli mkuu, nlipitikiwa. Hapo kabakia City tuSheffield United tumesha malizana nao Mkuu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Majeruhi sasa ni Lovren, Shaqir, Keita, Milner...
Injury
Watakwambia hana kazi. Eti anatembea tu uwanjani[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
| 48' | Wolves | 0-1 | Liverpool FC |