Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Linapokuja suala la Bavarian Wajerumani huwa hawaambiliki
 
Ila sijui coutinho akiiona Liverpool anajisikiaje....Funzo tosha kwa wachezaji waliokariri Madrid na Barcelona ndo kuna mafanikio.

Cotinho baada ya kuondoka Liverpool kauli yake ya kwanza alisema 'Barcelona ndiyo his dream Team'.

Lakini alishindwa kuelewa si kila anachokipenda nayeye kinampinda.

Alisahau kuwa Barcelona ni his dream Team, lakini kwa upande wa Barcelona Coutino not their dream player that's why yupo on loan wanatafuta Mshitiri wa kumuuzia.
 
Linapokuja suala la Bavarian Wajerumani huwa hawaambiliki
Kwa sasa abakie alipo japo hawa ma fowadi wetu wanakosa magoli mengi....

Ishu kuu ni yajayo mwaka 2021 main threat wetu Salah na Mane wakienda AFCON...

Hapo ndio Klopp na jopo lake waanza kazi mapema kujua tuta survive vipi...

Takumi ni mwanzo mzuri..

YNWA
 
*EPL WHATSAPP GROUP*

Maguire: *Added Samatta*

*Zouma* ; karibu Mjuba
Samatta: Anko Zouma[emoji1666]
Zouma: [emoji849] Anko tena??
Jones: Typing
*Samatta* : Mzee wa kuchoma unatype nini[emoji849]??
Jones: This message was deleted
*David Luiz* : Tz pande zipi Mnyabi
Samatta: Mbagala mzee
Aubameyang; Ozaaa Samagoaaaal, karibu mzee,
Samatta: [emoji1666]
*Tammy A:* Una namba ya NIDA??[emoji2]
Samatta: Tammy foleni kubwa
Wanyama: Wa homeee[emoji85]
Samatta: Niambie Mzee wa totoz za Buza
Wanyama: Left
Samatta: [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Bruno: Joined using this Group Invite Link
*Pogba* ; Samatta anacheza yopeee, [emoji2][emoji2]
Samatta: Labile Mzee wa mipasi mirefuuu.
Virgil: Left
Lovren: Left
Becker: Left
Klopp; Left
*Samatta* : Typing
Maguire: Added Virgil
Virgil: Maguire, acha sifa [emoji35]
Maguire: [emoji2][emoji2][emoji2]
Torreira: [emoji3166]
*Rashford* : Tz kuna Madam, anaitwa Madam Pundile yupo goms unamfahamu??
Samatta: Goms kubwa mzee
Rashford; [emoji106]
Neves: [emoji1602]
Mountinho: [emoji276]
Ndidi; Oi Nabii Tito yupo??
Samatta; Yeah, punguzeni maswali yaajabu wazee,
Jorginho: [emoji16][emoji16]
Maguire: Removed Sterling
Rodrigo: Admin vipi mbona hatuambizani??
Rojo: Left
Young; Goodbye Members, on the way to Intermilan[emoji19]
SAMATTA: Msalimie Lukaku
*Young* ; Left
Zouma; oi naingia tizi nina Newcastle baadae[emoji1322]
De Gea; [emoji16][emoji16] anavyoaga utadhani bonge la beki,
*Arrizabalaga* : De save acha unafiki[emoji276]
Rui Patricio; [emoji15][emoji15] unafiki tena??
Raul Jemenez: kueni basi
Wesley: [emoji144]Samatta
Samatta: Ugua pole bro
Maddison; Karibu Genkman
Samatta; Madders[emoji120][emoji120]
Fred: Oi Mazeee[emoji16], kesho Liverkuku naogopa kinoma
Longstaff; [emoji2][emoji2] kisa??
Fred; Dimba lile niko mwenyewe
Matic; [emoji15][emoji15]
Martial; Liverkuku mbona wanaleft hadi baba yao [emoji2][emoji2][emoji2]
Milner; jiheshimu Martial
Smalling; na sisi tulio kwa mkopo tunaruhusiwa kuchangia??
Dan Ceballos: [emoji2955]
Ndombele; Niggers, Samatta, ndo nani aisee
Samatta: Baba lao[emoji2]
*KDB* : Added Solskjaer
Solskjaer; Oi wamasai bado wanafuga.[emoji2]?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah nilisema siingii humu mpaka siku ya Ubingwa ila nimeona kama Binadaam, mwenzako akiumwa vizuri ukamtembelee kumuona Mgonjwa, hali yake sio nzuri Mr Manchester United nimeenda room naona waana type makorokocho tu hawaeleweki hahaha sijui tuwasaidiaje kule? shauri zao Beki ghali atawasaidia.
 
Huu ujinga hapa si mahali pake!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…