Hahahahaaaa
Umeshaiona Ile video kambwa kanampiga mkwara mamba halafu kakaishia kuvutwa kwenye maji?Kuna kitu nafikiri hapa sijapata majibu, hivi manure jana walifikiri Anfield ni kama wako Etihad au Emirates?? Maana walipanda wote mpaka na kipa eti wanakushambulia
Sent using Jamii Forums mobile app
Linesman Jana alinyoosha Kibendera kuwa ni Offside kwa Mchezaji wa Manure, But why Alison hakuweka Mpira chini akapiga Goal kick badala yake alikamata Mkononi na akampigia Salah moja kwa moja?
Refa hakumuona Becker au alipuuzia tu?
Enewey ushindi ni Mtamu mno! Kuzifunga Timu zote Duniani ni sawa na kula Makande, Lakini kumfunga Manure ni sawa na kula Wali Kuku.
Wakati huo wapinzani wasipoteze.
Ndiyo maana hii January anajaribu kupewa airtime ili kama kuna timu ikimuhitaji imnunue kwa kuangalia form yake kwa game hizi.
Otherwise ataondoka bure June.
999 were I to the only the only the only the only to refer refer Ed to the ðfdsLallana mkataba wake unaisha mwisho wa msimu kwaio kivyovyote vile kama timu inataka aondoke ataondoka
Sent using Jamii Forums mobile app

Umeshaiona Ile video kambwa kanampiga mkwara mamba halafu kakaishia kuvutwa kwenye maji?
Basi ndio Jana... Walikua wanaitafuta pumzi ya mwisho
Biggest spending managers
2= Pep Guardiola: £998m / Zlatan Ibrahimovic £57m
Klopp the dragon slayer hayumo...
YNWA
Linesman Jana alinyoosha Kibendera kuwa ni Offside kwa Mchezaji wa Manure, But why Alison hakuweka Mpira chini akapiga Goal kick badala yake alikamata Mkononi na akampigia Salah moja kwa moja?
Refa hakumuona Becker au alipuuzia tu?
Enewey ushindi ni Mtamu mno! Kuzifunga Timu zote Duniani ni sawa na kula Makande, Lakini kumfunga Manure ni sawa na kula Wali Kuku.
Yep sure , he just timed it but it's also good to get a new look in the new season na wachezaji kama wakina Timo Werner wasiogope kukosa namba wakuje tu..tuongeze moto mbele pale... sababu nafasi nyingi tunatengeneza tunachohitaji magoli ya kutosha...The Last Pharaoh make no mistake that goal will make him more lethal...
He needed that goal...
Dunia haishi kushangaza mpaka sasa Pep anaamini we will bottle this somehowly...
After jana am sure he now planning exit in June or a very busy Summer...
YNWA
Hizi ni records za mwaka gani?
Is it true kwamba City ya Pep haijanunua mchezaji yeyote wa zaidi ya 57?
pep his expensive signing nadhani ni rodri...... 60+ mBiggest spending managers
1 Jose Mourinho: Total spend - £1.3bn / Biggest buy - Paul Pogba £89.3m
2= Carlo Ancelotti: £998m / Gareth Bale £85.3m
2= Pep Guardiola: £998m / Zlatan Ibrahimovic £57m
4 Manuel Pellegrini: £921m / Cristiano Ronaldo £80m
5 Massimiliano Allegri: £844m / Cristiano Ronaldo £99.2m
6 Arsene Wenger: £767m / Pierre-Emerick Aubameyang £56m
7 Roberto Mancini: £683m / Sergio Aguero £35m
8 Claudio Ranieri: £682.6m / James Rodriguez £38.5m
9 Rafa Benitez: £577m / Gonzalo Higuain £34.5m
10 Unai Emery: £591m / Neymar
Klopp the dragon slayer hayumo...
YNWA
Pp0pvvžc #zsvv#swuoaoIoIBiggest spending managers

AiseeBiggest spending managers