Alipopiga mpira ukamkuta salah alianza kukimbia kwenda kushangilia goli
Numbisa2nd goal.salahView attachment 1327930
Hahaha Mkuu hebu angalia hii picha tujiulize kidogo inamaana kawazidi mbio mpaka wakina magwayaa!!Alipopiga mpira ukamkuta salah alianza kukimbia kwenda kushangilia goli


bado najiuliza hapa Usain bolt angekaa nakwambia
Msema mkweli mpenzi wa Mungu kwa kweli nilikuwa kwenye screen tokea dakika ya 0 hadi 90 but mpira sijaungalia kwa details maana muda wote ni kubishana na mashabiki wa man u-mpaka sauti imekauka yote.
Hahaha Mkuu hebu angalia hii picha tujiulize kidogo inamaana kawazidi mbio mpaka wakina magwayaa!!
Inamaana de gea angepangua angemalizia yeye goliibado najiuliza hapa Usain bolt angekaa nakwambia
View attachment 1327952
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ila kanifurahisha kinoma ..Kama alikuwa akilini mwangu vile ..nilimuona de gea anataka kushambulia kona nikasema yeees kumbe alishtuka sijui Nan alimtonya akarudi pamoja na kurudi akachomekwa ..dah mi pale ningevua jezi ningetoka kabisa uwanjani maana shughuli ishaishaaadaaa jamaa Kapaa sijui![]()

Manure walistahili kupigwa 5-0Ww jamaa una roho mbaya ,hujaridhika na 2-0
Allison kapiga assist alafu wa kwanza kuja kushangiliaView attachment 1327935
Sent using Jamii Forums mobile app
Hendo ni mtu sana siku hizi aiseeDadeki Hendo![]()
![]()
![]()