Aisee... Mi hapa makende yameota sugu. Si kwa kuyabana namna hii. Kuna wakati Klopp anajua kunitesa. Mi namwachia Munguyan hapa nilikua nafuatilia online, mara nasikia kelele huko nje nikajua yamesawazisha...... pumbqfu kabisa haya
Sent using Jamii Forums mobile app


Iyo Avatar Siunaeza UkajibiaAisseeeee hiv Ali Becker aliwezaje kutoa asist alafu akawa wa kwanza kwenda kushangilia na Mo salah
Haiwezekani ngoja niangalie highlight kwanza inawezekana alipaa yule
Sent using Jamii Forums mobile app
daaa jamaa Kapaa sijui 😂😂😂Aisseeeee hiv Ali Becker aliwezaje kutoa asist alafu akawa wa kwanza kwenda kushangilia na Mo salah
Haiwezekani ngoja niangalie highlight kwanza inawezekana alipaa yule
Sent using Jamii Forums mobile app
Dooh leo tukiwakosa chini ya goli 3..sijui.
I bet tukishinda leo ubingwa mapema tu mwez wa 3 hapo hizo game zinazofata tutakua full mkoko vyuma mwanzo Kati na mwisho..
Kikubwa Leo goli 3+ point 3
# YNWA![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyewe nimefurahi mpaka basi. Mpaka nikaonekana chiziAisseeeee hiv Ali Becker aliwezaje kutoa asist alafu akawa wa kwanza kwenda kushangilia na Mo salah
Haiwezekani ngoja niangalie highlight kwanza inawezekana alipaa yule
Sent using Jamii Forums mobile app