Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] jamaaa ni matatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
dah we jamaa ni full comedian kule kwenye uzi wa manure unawapiga biti kuwa leo liva atawapiga kipigo cha mbwa mwizi huku kwetu naye unatuambia kuwa kwa manure leo hatuchomoki nimegundua kuwa huna jipya zaidi ya kupandikiza hofu kwa manure and livapool fans
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app