Msimu wa 2017/18 Man City alikuwa anashinda games nyingi na alitangulia points nyingi sana, nilikuwa nalalamika kwamba ligi haina mvuto kwa sababu ni One Horse Race.
Sasa msimu huu ni same same, tena inawezekana hata ni zaidi ya kipindi kile. Ila eti naona ligi ina mvuto balaa.

Unawaonea huruma sio, tuwapige tukirudi tuisabu idadi ya pasi, angalau zifike 1,200Kwa huu moto inatakiwa mechi hii iishe kipindi cha kwanza kwa 2-0
Wameisha kubali hawa