Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Sisi tuna uhakika tutamaliza nafasi ya pili kama tukiikosa ya kwanza..Big four unaweza kuikosa ndugu....
YNWA
Niko apa leo tuhakikisha napunguza mauchungu..
Aa wap Leo Rashid atowaacha salama..Ollachuga oc jana alikatisha humu akitembea katunisha mabeba kama kabeba ndo za maji, lkn baada ya kupigwa tu huko na Newcastle alipotea pasipo kuaga sijui leo kaenda kulalia wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Klopp anatakiwa afanye mazoezi awe mwepesi kama Lampard..akiendela kuwa mzembe mzembe utashangaa leo mnapigwa..
Awe mwepesi wa kufungwa kama lampardKlopp anatakiwa afanye mazoezi awe mwepesi kama Lampard..akiendela kuwa mzembe mzembe utashangaa leo mnapigwa..
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Klopp anatakiwa afanye mazoezi awe mwepesi kama Lampard..akiendela kuwa mzembe mzembe utashangaa leo mnapigwa..
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo sisi Man united tunashinda ivyo punguza point tatu za leo apo..Mzee Mahitaji pwenti 94 nitangaze ubingwa.
City akishinda zliizobaki anafikisha 93.
Piga hesabu Nina game mbili mkononi.
Safari hii kweupeeee
Kwa kikifupi hadi mwezi wa 1 unaisha tunakuwa tumebakisha mechi 8 za ubingwa..ha hapo tuna mechi zaidi ya 7 anfield,Kimahesabu kati ya mechi 17 zilizosalia, tukishinda mechi 11 tukafungwa 6 sisi ni mabingwa,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimahesabu kati ya mechi 17 zilizosalia, tukishinda mechi 11 tukafungwa 6 sisi ni mabingwa,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwa nini mnajadili habari za kufungwa mechi 6?
Yaani sasa hivi kinachotakiwa kujadiliwa ni kutofungwa mechi hata moja.
Kuvunja record ya game 49 unbeaten ya Arsenal EPL.
Kumaliza na points zaidi ya 100.
Lengo ni kuweka records ambazo hazitakaa zivunjwe kwenye hiki kizazi.
Kwa kikifupi hadi mwezi wa 1 unaisha tunakuwa tumebakisha mechi 8 za ubingwa..ha hapo tuna mechi zaidi ya 7 anfield,
Kwa quality ya wachezaji wetu mmoja mmoja, hakuna timu inayofikia onlyKDB ndio mchezaji asiye wa liverpool anaweza kucheza liverpool kwa sasa (Kwa maoni yangu)
You are so disrespectful.
And disgusting as well.
Mzee unazungumzia spurs wakati tushamalizana nae? Kweli liver inakuvurugaLeo sisi Man united tunashinda ivyo punguza point tatu za leo apo..
Ukidraw gemu kama nne ivi zinazokuja maana sisi Chelsea lazima tuwapige huwa atupigwagi Mara mbili ..ivyo pig esabu tena upya apo..
Kwa araka araka tunaakikisha mutapoteza kwa City, Chelsea na Leo man u, mutadraw na Arsenal Everton Spurs lazima muchezee kichapo hahaha ubingwa mapemaaa munasahau...
Huu mkakati lazima ufanikiwe...
Mpka Dakika ya mwisho nutahakikisha amubebi ubingwa..[emoji3][emoji3]
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
man utd leo hapati hata mojaI don't see clean sheet
We also need to score first
Mkuu Wa kaskazini umevurugwo si bure..Sisi tuna uhakika tutamaliza nafasi ya pili kama tukiikosa ya kwanza..
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app