Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yeah, Buendia, Cantwell, Grealish na McGinn, tukipata mmoja au wawili baada ya ku off load Lallana itakua good addition kwenyw kikosi chetu.
Cantwell mashini mkuu aaa shinda sana yule ndogo...

Buendia na Cantwell ni ready made kwa Liverpool wanahitaji pre season ya kutosha...

McGinn abakie alipo haha wakija wengi Jones wetu real scourcer atakwama kupenya kikosi cha kwanza...

YNWA
 
Jamaa ukisoma comments zake unagundua tu ana shida mahali fulani kwa kichwa yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha Mkuu yule hana shinda hata kidogo...

Mpira bila kua na watani humu humu wanaokumbeza kile ama hiki nk unakua haunogi hata kidogo..

Hata majuu wakati mechi zinaendelea unaweza kusikia mashabiki wanatania Kwa nyimbo ama mabango...

Usije shangaa Chelsea wakija kwetu ukasikia ama kuona mabango wakisema Henderson atateleza kama Steve haha

Ama wakija Manchester United home ukasikia mashabiki wetu Anfield wakimwimbia Ole you are getting sacked in the morning..

Nao mashabiki Wa Manchester United wajibu VAR was brought to give Liverpool the EPL trophy nk...

Ollachuga Oc, Pain Killer, DullyJr, Aaron Arsenal, kurlzawa, Radika, Honnestly nk kututembelea humu kwenye uzi wetu ni sawa kabisa hata wakiandika mambo fulani binafsi nachukulie powa maana ndio ushabiki ulivyo...

Well narrated.

Good morning to all Kops.
 
IMG_7425.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
guardola kasema mrithi wa silva ni foden...labda waongeze depth ya kikos...
Foden bado sana kufika level zile..

Pep sijui unamjia uzee au anakwama wapi, aliondoka Vincent bila kumleta mbadala wake na yaliyojiri umeyaona..

Kumkosa Silva kutawagharimu na kashastuka ndio wapo njiani kumpa Dinyo mkatabata atakua amejifunza na pengo la Vin limewa cost ukiacha kuumia kwa Laporte...

YNWA
 
Mimi binafsi sitamani kumkosa jamaa, ni changamsha genge mzuri tu.

Sema ubaya wake yeye akifungwa ukamtafuta humpati, maana anapotea kwa muda, akirudi radha ya kumtania unakuta imeisha.

Yani ollachuga ni sawa na Kenge haamini mpaka aone damu!

Unawezakuta Dakika ya 89' Liverpool inaongoza 4 kwa 0 na still akacomment mechi inaisha Draw ya 4 - 4

Lakini dakika ya 93' Chelsea imeshapigwa 4 - 0 na Bournemouth but still akakwambia game itaisha kwa Chelsea itashinda 4 - 5
 
Ha ha ha, nimecheka sana, yaani jamaa anaweza akaleta taharuki usipomfahamu. Ila ni mtu powa sana kwenye majukwaa.

Napendaga sana ligi zake yeye ana Aaron, maana ni full utani wa jadi.
 
Dah! Kweli naamini kipato kina jeuri ha ha ha ha

Yani sisi Team lawama hatuonekani hata mmoja tukizungumzia usajili wa January???

Hapa inadefine wazi kabisa kuwa We are Liverpool na wala haatuna chuki na Klopp wala mchezaji yeyote bali tulikuwa na Njaa ya kutaka kuona mafanikio.

Sasa tunayaona Mafanikio kuna haja gani ya kudai usajili au kumzungumza Klopp? 😀😀😀

Hata Henderson baada ya kujitambua na kuelewa nini Mashabiki tunataka basi hunioni Mtu kama mimi King Ngwaba kumjadili Hendo kwani hata nicheze mimi Mtaalamu wa Chandimu vijijini kwenye Mashamba ya Alizeti baada Kuvuna huku Magoli yakiwa ni Mabua ya Alizeti basi tutashinda na kutoka na Clean sheet.

Klopp ukitaka sajili hutaki tulia mimi ninafurahi tu hapa kupata mipoints mengi na Miclean sheet ya kutosha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom