GwamahalaJR
JF-Expert Member
- Jul 18, 2019
- 414
- 772
You made my day, chief!17 points mbele kwa tishio letu kuu. Hata mimi nikiwa Manager wa hii klabu takatifu nawahakikishieni ubingwa mtukufu ambao hauna tone la shaka.
Kuna mtu kanitonya ushindi wa leo umeleta furaha mbinguni. Malaika walishindwa kujizuia
Sent using Jamii Forums mobile app