Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Mkuu wakati Klopp anakuja Liverpool alikua na hali gani huko Westphalian alimaliza ligi akiwa Wa 7 lakini haikuzuia kuajiliwa baada ya kazi murwa sana ya Director of Research Wa Liverpool bwana Graham...Huo ubest unaendelea tu hata akipata matokeo mabaya?
Ile team haikua mbovu hiyu ndo anaitia ubovu tusisifie tu kisa eti anavikombe vishakua zilipendwa hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo Muriohno pamoja na mapungufu yake anastahili heshima yake kama alivyosema MmangO hii Timu ameikuta hivyo project yake ndio kwanza inaanza na vipigo atakutana navyo na shinda ni huyo boss wake wa sasa ni mtata...