Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wenyewe wanasema 'suffering from success'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya Philips anarudi nyumbani Kwa siku kadhaa atarejea tena Stuttgart kuedelea na mkopo wake mwezi February wakishakua wamepona Matip na Lovren...

Duh Clyne nadhani nje msimu wote huu.. Ila si bure mbona hawa Waingereza wakiumia huchukua muda mrefu sana kupona na majereha ya kujirudia mara kwa mara nayo shinda Kwa mfano muangalie Ox wetu, Shaw Wa Manchester United, Clyne wetu, Stones Wa Manchester City nk...

FA dhidi ya Everton hopefully Klopp atamunzisha au kumpa dakika Takumi ajitambulisha rasmi Uingereza..

YNWA
 
Nashauri mambo ya Simba na yanga yabaki kwenye majukwaa yake
Watu wana roho ngumu! Hapo kuna timu za kushabikia? So kujitia pressure bure tu? Huo uchafu ubaki huko huko asante mkuu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…