Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Fifa World champion ni kakikombe ka hovyo tu..kipindi tunabeba hiki kikombe sikusikia hizi kelele kama mnazozipiga nyie..It's obvious mshindi wa UEFA ni champion wa Dunia
It is obvious? Na hapohapo imechukuliwa mara mbili tu na timu mbili tu Uingereza?? Mbona Chelsea hawakuibeba waliposhinda UCL? Na hiko kipindi hukuskia kelele maana hakukuwa na hii mitandao ya sasa. Kuna klabu yenye domo kuliko manchester?? Mkimfunga tu AZ ALKMAAR hapakaliki! [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe mpira hukutazama. Ni kelele tu wapiga. Haya tazama hiyo video hapa useme kama mpira ulishikwa. WIVU UTAWAUA. Pambaneni na vitimu vyenu tia maji tia maji.
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kaa na heshima yako iweke kabatini wakati sisi tukiweka kombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi jana vs Arsenal kama ni upendeleo wewe na Chelsea mnajiodoa wapi...

Ile foul ya Jorginho ni kadi ndugu alitakiwa pale pale apewe kadi ya jano ya pili =nyekundu lakini wewe unayaona ya Liverpool tu ambao hawazimiki Kwa keleke za mtandaoni...

Bila VAR msimu huu inasemekana bado tungeogoza league EPL Kwa pointi 6..sasa hizo kelele mtulie tu ni wakati wetu

yaaani haya machungu mnayosikia sasa juu yetu wenzio tuliyapitia kipindi cha Fergie, akaja Mouriohno na wengine aaa iliuma sana lakini hatukikimbia tulia jua fika siku itafika tutacheka na sisi na wakati ni huu 2019 makombe matatu ya uhakika historia pia tumeandika kuwa klabu ya kwanza kutoka Uingereza kushinda Champions league, Super cup na World club Cup Kwa wakati mmoja na upo uwezekano kujirudia tena 2020 haha mjipange.. Haha hii lazima iwanyime raha sana huku EPL mapema April tunaidaka haha...

Tumevumilia miaka 30 kusubiri haya ya leo nyie wapinzani mtajijua na hali zenu sie huku mambo ni motooo sanaaa

YNWA
 
Hahaha ukweli ni kwamba VAR bado ni geni sana ndio kwanza msimu wa kwanza inatumika EPL ukumbuke pia hao wataalaam Wa VAR ni binadamu hivyo 'kupitiwa' nako kupo lakini tuendako huko mbele naamini watajiweka sawa kwani kila baada ya mechi timu zote EPL zinawasilisha ripoti zao kuhusu VAR na marefarii kusudi wazidi kuboresha..

VAR ni msumeno inakata kote kote nakumbuka wakati Manchester United wanatufunga goli lao ilianza na foul Kwa Origi mwamuzi akapeta na hatimae akafunga Rashford hivyo mzee baba hii hainaga utabiri siku inakupa raha siku unanuna..

YNWA
 
Coz ....coz.... coz....... acha upimbi
Wew kilaza hujitambui

Hivi ukiwa na akil timamu unaweza kusema liverpool kachukua epl kwa uwezp wake????

Hana lolote huyo kuku zaidi ya kupangiwa matokeo

Jana match ilikuwa clear 0-0

ila hawa kuku wakapewa point 3 za bure mezan

Then useme liverpool ni bingwa, kila mtu analiona kama wew kilaza huoni endelea kukaza ubongo ,

Bila kupepesa macho dunia nzima inajua kuwa hawa kuku wanapewa epl ,
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
last season var ingekuepo tungekua mabingwa, city alifaidika sana kwa magoli (maamuzi) yasiyo halali

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…