Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nadhani pesa zinaficha uwezo halisi wa makocha, najaribu kuwaza Nuno angekuwa ndio ana wachezaji kama wa liver na Klop awe na hawa wachezaji wa buku jero wa Wolves, je Klop angesikika popote?.

Sent using Jamii Forums mobile app
wolves wana pesa kuliko dortmound........


kwaio klop pale dort alikua kilaza? kuwa na akili mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshasoma tabia za Watu humu kwenye Group ndiyomana nikaitanguliza hiyo paragraph ya mwisho.

Imagine humu kumeibuka washabiki kuanzia last season wamefika pahali wamenichukia mimi pamoja na ninachokiandika kisa tu nilikiwa namkosoa Henderson.

Sijengi picha hao ni watu wa aina gani!! Unamchukia Mtu just kwa kutofautiana Mitazamo tu??? Oh my God.
Hahaha ni jamvini aisee kila mmoja na uelewa wake..

Stick to the same King Ngwaba i know don't change just to make somebody happy..
 
IMG_7178.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom