Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Arteta naye anakufa huku! Safari hii hizi timu tunazipiga nje ndani! Sioni timu ya kuwakabili REDS
Arsenal wanahitaji dirisha kama Tatu za usajili kuji weka sawa tatizo sio Arteta mbali hana wachezaji sahihi levo ya juu..

Bila Champions league itakua ngumu sana kuwavutia wachezaji Wa maana..

Huyu wamvumilie na wampe sapoti..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom