Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nadhani pesa zinaficha uwezo halisi wa makocha, najaribu kuwaza Nuno angekuwa ndio ana wachezaji kama wa liver na Klop awe na hawa wachezaji wa buku jero wa Wolves, je Klop angesikika popote?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha hayapo hivyo ndugu, mpe huyo Nuno timu kubwa uone atafanya nini. Wangapi walifanya makubwa kwenye mid table teams wakapewa timu kubwa na kushindwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom