Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bora umejijibu mwenyew hapo mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimeshasoma tabia za Watu humu kwenye Group ndiyomana nikaitanguliza hiyo paragraph ya mwisho.

Imagine humu kumeibuka washabiki kuanzia last season wamefika pahali wamenichukia mimi pamoja na ninachokiandika kisa tu nilikiwa namkosoa Henderson.

Sijengi picha hao ni watu wa aina gani!! Unamchukia Mtu just kwa kutofautiana Mitazamo tu??? Oh my God.
 
Niko hapa nimeandika 4 nikisubiri msosi wa Wolverhampton! Nikisubiri kuteta na kocha wao Nuno Espirito Santo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom