Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
LEO EPL INAANZA RASMI
Mimi Ushabiki Wangu ni 'Kushinda Kila Mchezo'.
Ikiwa Kuna Mtu ana Mentality ya Kuwa anatarajia Matokeo Matatu (Kushinda, Kufungwa au Kutoka Sare)! Basi abaki na mentality Yake hiyo asitulazimishe wengine tukubali.
Ikiwa Kuna Mtu ana mentality ya kuwa sisi kupoteza game au kudraw ni sawa huku akiamini kuwa "kila timu itapoteza points", Basi asubiri game ya mwisho aombee Mancity eti afungwe na kibonde ili sisi tubebe ubingwa.
Mimi mentality yangu ni Kushinda kila Mchezo kwani ndiyo Njia pekee ya Kubeba ubingwa mbele ya Guardiola ambaye kwake kila mechi ni Fainali.
Tukipata points 110 kwenye huu Msimu itapendeza sana
Hahahaha I like that one he has won 2019-2020 EPL trophy included wow just wow.. Usipojiamini nani atakuamini lazima tujiamini tu naweza ili tuweze, wachezaji wakijiamini, Klopp akaaminika basi na sis mashibiki tujiamini it's coming home.. Its sweet really sweet that we are lucky to witness history rewritten again as we head to the summit...People moved so fast to dismiss Joe Gomez baada ya ile game ya Salzburg..
Again, this shows how impatient LFC fans walivyo na wachezaji, especially GOOD PLAYERS..
Kabla ya his injury last season, Gomez was the best young CB in the world, lakini alivyorudi kutoka majeruhi na kucheza hovyo watu wakasahau yote aliyofanya kabla hajaumia.
Funny thing is, he's just 22, still a kid, but playing at the highest level, VVD hakuwa na Elite status akiwa na miaka 22 kama Gomez, but look at him now? Top 2 best player in the world right now. But again look at Gomez akiwa na miaka 22, ameshinda trophies kubwa zote (2019/20 EPL title included)..he's a special talent and we should be glad tunae at LFC..
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa upande wangu binafsi ni Fabi any day of the week kwenye DM.Hahaha, Hendo has been good this time.
Binafsi nafurahi kwamba anajitahidi, tusisahau kitu kimoja, hii namba alishaicheza na hakufanya vizuri, bado cleansheets huwezi kusema ziko related na Hendo.
Tuna Keita maintaining offensive moves (we all know offense is a good defense), tuna Gomez, has raised his game to his standard before the injury.
Kwangu mimi nasema ni team work na circumstances.
Labda nikuulize swali, Fabinho akipona utamweka benchi ili namba 6 acheze Hendo?
NB: Game ya WC Hendo alicheza CB na hatukuwa na Cleansheet.
Haha timu pinzani awepo Salah hua wawil wanabaki nyuma maana wanajua ndogo ikipigwa kaunta basi atawaadhibu.. Msimu wake kwanza wengi aliwa funga Kwa kua hawakujua wamkabe vipi... Msimu wa pili haha makocha walishamjulia kwamba huyu si kuachwa na beki mmoja lolUwepo wa hao watatu huifanya team pinzani ijisahau maana wanakuwa makini na hao tu hivyo kurahisisha wachezaji wengine ku create other chances
Sent using Jamii Forums mobile app
ile game iondoe kwenye stat kwani alicheza kama CB.coincidence mkuu..........
swali, hivi kule qatar tulipata cleansht kwa wale wa mexico?!....... fake stat
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa upande wangu binafsi ni Fabi any day of the week kwenye DM.
ila Klopp akiamua otherwise, mimi ni nani wa kumpinga?
Hahaha.. So hendo is better than fabinho tavazarez [emoji28]ngoja nichokonoe mapovu ya wadau hapa..... hahahaaa!!
am not sure about this stat but it's alleged that tangu Hendo recently alipoanza kucheza as a DM baada ya Fabi kuumia, LFC imeweza kupata clean sheets kwenye hizo games zote.
kama hii stat ni sahihi, swali linakuja....
je, is it a coincidence or Hendo's impact after position switch?
mapovu kutoka pande zote ruksaa!!
Klopp ni memba mwenzetu humuKwasasahivi haina haja ya Mtu mmoja kuwaprovoke wengine kuhusu Henderson, Huu mjadala wa Henderson hauna haja ya kuletwa tena kwa kipindi hichi kwa sababu hatuna cha kukosoa.
Sasa kama anafanya tulichokuwa tunakitaka kutoka kwake tujadili nini?
Sisi hatukumkosoa Henderson kwa sura au rangi yake! Bali tulimkosoa kwasababu ya kiwango chake! Sasa kama kaboresha kiwango tumkosoe kwa lipi?
Kilichobakia tumpongeze tu aendelee kuboresha kiwango chake ili tubebe kombe.
Misimu miwili iliyopita hapa tulimkosoa Klopp vikali sana kwa Kuto Kusaini mpaka kuna watu wakatuambia tunamchukia Klopp na tunajiona tunajua zaidi kuliko Klopp!
Tokea alipowasajili Salah, Keita, VVD, Robertson, Alison na Fabinho umeshawahi kutuona kumkosoa Klopp kuhusu kusajili?
Si sote tumenyamaza kimya!!
Hapa ndiyo tujue kuwa sisi hatuchukii Mtu wala hatujifanyi tunajua zaidi! Bali tunakosoa mambo anayoyafanya Mtu husika.
So, na huyu Henderson kwa kiwango anachoonesha sasa basi tunafurahia wala hakuna haja ya kumuanzishia mijadala kwani amerekebisha tulichomkosoa.
Mimi kuhusu Mijadala ya Hendo wacha niishie hapa.
Kilichobakia nitamjadili kimpira tu sasa kama ninavyowajadili kina Mane na wengine.
at their current form, I'll go like Keita plus either of Gini/Hendo.Okay, assuming Fabi is back and everyone is at this current form, niambie kati ya hawa 3 inachagua 2: Keita, Gini and Hendo.
Fabi is not in kwa sababu 6 ni yake.
at their current form, I'll go like Keita plus either of Gini/Hendo.
or
whatever will be Klopp's choice!!
mtajaa tu kweny 18 za ArtetaMnawashindwa B'mouth alafu ukamtake bingwa wa dunia [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
この小さな美しい日本のウィザードが公式に赤になるまで一週間 [emoji627]#liverpoolfcView attachment 1305895
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu tafsiri tafadhali...この小さな美しい日本のウィザードが公式に赤になるまで一週間 [emoji627]#liverpoolfcView attachment 1305895
Sent using Jamii Forums mobile app
MosDef naona leo kawashukia watu mazima mazima.
Kuna mida Mo Salah anazinguaga, mahali pa kutoa pasi analazimisha kupiga wakati wenzake wako very open, kuna dribbles anafanya kwenye msitu wa watu hazifanikiwi lakini atarudia tena na tena.
Recently, ameanza pasi za visigino, ambazo nyingi zinakuwa zinapotea.
Hii tabia ya eti mchezaji fulani hatakiwi kusemwa kwa sababu ni World Class I personally disagree with it. Kwa sababu huu ndiyo mwanzo wa kutengeneza monsters.
Mtanikosoa kwa hili: Kuna times Mo alikuwa ni mchoyo kupindukia na Klopp alikuwa hazungumzi kitu mpaka Sadio akaamua kui address kwa kuonyesha frustrations baada ya kutolewa, atleast from there kajitahidi kubadilika.
So, every player should be hold accountable.