Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sasa kitu pekee kilichobaki ninawaona marafiki wetu wa Karibu Arsenal wakiombea tupoteze game 1 tu na tushinde zote zilizobakia ili tusivunje unbeaten Record yao teh teh teh teh teh teh teh teh
 

Honestly na-wish game ya kesho asicheze kabisa apate muda wa kupumzisha mwili lakini nikikumbuka we need to push on the gap, man anatakiwa atokee bench.

Bobby kurudi kwenye form kumfanye Klopp ampumzishe Salah
 
MosDef naona leo kawashukia watu mazima mazima.

Kuna mida Mo Salah anazinguaga, mahali pa kutoa pasi analazimisha kupiga wakati wenzake wako very open, kuna dribbles anafanya kwenye msitu wa watu hazifanikiwi lakini atarudia tena na tena.

Recently, ameanza pasi za visigino, ambazo nyingi zinakuwa zinapotea.

Hii tabia ya eti mchezaji fulani hatakiwi kusemwa kwa sababu ni World Class I personally disagree with it. Kwa sababu huu ndiyo mwanzo wa kutengeneza monsters.

Mtanikosoa kwa hili: Kuna times Mo alikuwa ni mchoyo kupindukia na Klopp alikuwa hazungumzi kitu mpaka Sadio akaamua kui address kwa kuonyesha frustrations baada ya kutolewa, atleast from there kajitahidi kubadilika.

So, every player should be hold accountable.
 
Hahahaha kuna zile nafasi unaziona hadi unasema daah tatizo ni nini


Nadhani Kinachomuumiza Salah ni kutokuwa na magoli mengi ukizingatia amechukua back to back golden boot, so nadhani na yeye Ana lengo la kila msimu awe na goli kadhaa kwenye competitions zote
 

Na hapo ndipo tatizo linapoanzia, shida ni pale anaporudia kosa lile lile zaidi ya mara 5 ndani ya mechi moja na haambiwi.

Sadio Mane huwa anajitahidi sana kumwonesha kwamba umezingua, ila Klopp nahisi anakuwa kama anawaogopa wachezaji wake kuwaambia. Anatumia style ya kuwabembeleza.
 
kwa mtazamo wangu hii ratiba ni rafiki kwetu kwani sina hakika kama nguvu wanazotumia wachezaji wa timu hizo wanapokutana na city wataweza kuzimaintain wanapokutana na sisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…