Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Pole sana mkuu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nakumbuka Kabla ya kuja Jürgen Klopp wengi wetu tulikuwa na Mediocre Mentality that's why hata usajili wa Lambert tulikuwa tukiona ni sawa.

But baada ya kuja Klopp na kutuletea watu kama Fabinho, Salah, Mane, VVD na Alisson ambao ni Calibre ya World Class player, tulipaswa kuondokana na zile Mentality za Mediocre ambazo ni za Midtable.

But kwa baadhi ya Washabiki wa Liverpool mpaka sasahivi bado wanashikilia zile Mentality za Midiocre za Timu ndogo.

Ndiyomana unapomwambia Sifa ya Timu kubwa hata kama itakuwa na Mchezaji mzuri kiasi gani basi wakiamua kusajili wanasajili upgrade yake aliyebora zaidi kuliko yeye! Basi hawa washabiki wanaoendeleza Small Team Mentality watakazania kukusifia LALLANA, ORIGI na MILNER na kuwa tayari Timu isisajili kwa sababu ya wachezaji hawa.

Hiyo ni SMALL TEAM MENTALITY
 
Bila kumsahau bashite(Hendo) naye sijawahi kumwamini kabisa mm
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuuuuh poleni sana Mungu awanusuru na kuwaponya majeruhi wote
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ohh dear kipindi hiki familia nyingi wanakwenda kula sikuku na mabasi nao hua lesi kweli.. Barabarani magari ni mengi mno..

Kwa wale ma fans mnaosafiri Kwa basi au gari binafsi nawatakia safari njema mfike salama...

Mkuu King poleni Sana may they get better.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…