Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

2005 nazani tulifungwa na independente

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Yani Furaha yangu imeingia Dosari muda huu.

Basi la Prince limetoka Dar Jana likiwa limebeba Abiria waendao Mwanza, Limeharibika Morogoro na Kufika Singida Leo, Hatimae Leo limepata Ajali hapa Singida na Tuna majeruhi wengi tu Waliopelekwa Kituo cha Afya Ikungi - Singida.
 
Maneno yaliyojaa ukakasi haya! Basi hata Nabby auzwe, Fabinhio auzwe, Matip auzwe? Tusiwe na maneno ya kuporoka kama mishabiki ya Manure!

Kwani ungepungukiwa nini kueka Mawazo yako na kuyaheshimu ya kwangu kama yalivyo?

Mwengine akija akisema Lallana auzwe utapigana nae au?

Jifunzeni kuheshimu mawazo ya wenzenu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…