Na wewe Malafyale huna akili nzuri lakini, kila kitu Hendo mpaka tumechoka! Ifike mahali tukubaliane wachezaji wote ni muhimu!We adore you Capitane Hendo
We love you
View attachment 1299556View attachment 1299557View attachment 1299558View attachment 1299559View attachment 1299560
Tutakuja waambia watoto wetu kama kulikuwa na Captain mkakamavu anaitwa Hendo ALICHUKUA kila kitu!
Hendo anaenda nyanyua EPL May
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahaha kungekucha Echo, the Mirror yaaani noma sanaaa..
Liverpoolian we are the Quonquerer of the World!u
Mtuache tupumue kwanza loh[emoji38][emoji38][emoji28][emoji28]View attachment 1299847
Sent using Jamii Forums mobile app
Zoezi la usajiri linaendelea naona leo mumejiokotea chupiofficial....
Kongole KoppsView attachment 1299815
Sent using Jamii Forums mobile app
The Citizens are the team to beat hawa Foxes ni lucky boys in the right time where others are doing badly wao wanafanya poa...can anyone prove me wrong re Leicester City's title race? that their wheels seem to be coming off while ManCity to remain our strongest challenger?
the signs are all there now for all to see!
Aisee hata mimi nilishangilia sana.Kuna shuti moja Hendo alipiga golikipa akaliona, nilishukuru sana maana lingeingia humu ndani tungekoma.
Na Emre Chan...kila tukichukua makombe uwa namuwaza coutihno..kama kuna mtu alimdanganya basi alaaniwe.
Kuna shuti moja Hendo alipiga golikipa akaliona, nilishukuru sana maana lingeingia humu ndani tungekoma.
Bye bye Manchester United now we are the most decorated club in UK...
naona scenario ya Can sio mbaya kama Coutinho.. ndio 7bu watu humtaja sana Coutinho.Na Emre Chan...
Naunga hojamimi kwangu mchezaji bora ni gomez..game ya jana alicheza namba yake na namba ya anorld na zote alizimudu yule namba 11 wa flamingo alimzidia dogo....
Kila jambo lina wakati wake, ni muda wa Liver kuchukua vikombe , lakini hata hivyo siyo kwa sababu Liver ni timu ya kipekee! Sababu kubwa ni wapinzani wakubwa wa Liver ndani ya Uingereza wanapitia kipindi cha mpito lakini pia hata club kubwa za Ulaya zina changamoto kadhaa kwa sasa. Hivyo, make hay while the sun is shining otherwise the same sun is about to set over the club!Hakuna timu inayotuambia kitu kwa sasa Duniani!....
mkuu, opinions za hivi ndizo huwaga mimi sizielewagi kabisa aisee.Bobby kafunga Goli akatufikisha Fainali
Bobby kafunga Goli akatupa Kombe
But Tutasikia Misifa ya kumwaga Kuwa Captain Hendo katupa Kombe
Hahaha Sterling bana tumeshasahau hata huyu Countino tutasahau tu sema ni vile alifosi mpaka kujilipia kiasi cha pesa ilie ajiunge na Catalans... Klopp alimuonya ukieda Barca utakua just another player so akamshauri abakie na yeye Kwa dharau akasema lazima aodoke.. He regret that now..naona scenario ya Can sio mbaya kama Coutinho.. ndio 7bu watu humtaja sana Coutinho.
Sterling same same sema yeye amefanikiwa hazungumzwi sana ila aliondoka kihuni.
kwa asilimia kubwa atakua pagumu pep akiondoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kipindi cha mpito sisi tupo vizuri kuliko wao.hakuna cha mpito wala niniKila jambo lina wakati wake, ni muda wa Liver kuchukua vikombe , lakini hata hivyo siyo kwa sababu Liver ni timu ya kipekee! Sababu kubwa ni wapinzani wakubwa wa Liver ndani ya Uingereza wanapitia kipindi cha mpito lakini pia hata club kubwa za Ulaya zina changamoto kadhaa kwa sasa. Hivyo, make hay while the sun is shining otherwise the same sun is about to set over the club!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiasi chake...Ila alikunjuka vizuri sana.