SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,444
Hii game sikucheki aisee ila Klopp bana beki kweli Hendo.. Haha pazuri tumevuka salama..
Hahahaha just Hahaha hahah and again Hahahahaha
Allison is the best between the sticks no doubt his immense talents has saved us more and more when we need him...Allison
Firmino good one
Klopp ifike mahali aache kutupa presha tusubiri mpaka dakika za mwisho kushangilia
To the final, let's get the trophy
Kwani nyinyi mliliwezaje?Hili balaaa wataweza kweli???View attachment 1297242View attachment 1297243
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyo atapotea mapema sana usilete utani na EPL..Tayari kafanya vipimo anatua tarehe 1 January 2020...
Huyu anakuja kuteka ligi Zuma atakua anazungushwo kama pira..
Sasa uyo Spurs ndo wa kumuwaza??Kwa taarifa ni kwamba Jumapili ni Spurs na Chelsea, mwaenda liwa tena
Sent using Jamii Forums mobile app



Ni Liverpool ndo imefungwa ..sio kikosi C...Baada kikosi C kufungwo jana umerudi mazima ndugu...



Muda utasema ndugu tuwe na subira bado kama siku 13 atue rasmi kuanza ajira mpya UK ndani ya Mabingwa watarajiwa Wa Dunia idara ya Klabu..
😂😂😂😂😂😂👌👌👌👌👌👍👍👍👍Kausha basi tushafutwa machozi na wakali wetu jana huko Doha..
Ila awe Makini sana hii ni Liverpool na Kocha ni Klopp.
Klopp hatengenezi Mfumo kukompile na Mchezaji individually bali anamuandaa mchezaji kucompile na Mfumo.
So, afanye a-dapt na Mfumo mapema kadri iwezekanavyo kabla hajawa New version ya Markovic
Noma sana many happy days to come...
Mkuu Dully Jr nawapongeza kumpa 'denti' Wa Pep kazi bila shaka akiwezeshwa na apewe muda anaweza akawafaa...
Hili balaaa wataweza kweli???View attachment 1297242View attachment 1297243
Sent using Jamii Forums mobile app
@Aaron mbona yupo mkuu!!!!Mkuu Dully Jr nawapongeza kumpa 'denti' Wa Pep kazi bila shaka akiwezeshwa na apewe muda anaweza akawafaa...
Hopefully mkuu Aaron Arsenal Kwa huyu sasa atarudi jukwaani maana hatumuoni kama zamani...