Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_6977.JPG



Sent using Jamii Forums mobile app
 
@Aaron mbona yupo mkuu!!!!

Tunashukuru kwa pongezi,uzuri wake ni washabiki wa timu tatu tu duniani ambao wamefuzu mtihani wa UVUMILIVU na SUBIRA....

ARSENAL
LIVERPOOL
YANGA

hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hahahaaaaaaaaa

Hakuna aliyeandikiwa barua wala aliyefutwa nyumbani kwake aipende ......

Tumeipenda wenyewe

Wacha ituueeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Ila kaeni vizuri maana tunakuja,next season nafikiri nitawakimbiza wengi hapa jukwaani,kwa fujo,tambo,na shangwe kama zote.



Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha Yanga aaaa sawa jomba...

Ganaz tuliwazoea na wazee Wa the big four tangu enzi ya Babu hivyo kupata huyu former Ganaz Captain atarudisha mshikamano kwenye timu na kwa vile mna subira basi atawafaa Sana...

Bila shaka mahala pa kuanzia ni pale defence lazima apewe mkwaja apaweke sawa...

Mble mpo vizuri, kati nako si pambaya Sana na golikipa mnae mzuri tu...

Niwatakie mema Sana mrudishe ari ya ushindi na mrudi ku challenge sio kusidikiza...

Kwa historia ya hivi karibuni kuhusu hao ma former players kama Duncan, Ole, Lampard nk waliopewa mikoba wanajitahidi kujiweka sawa kushindana na ma nguli Wa soka akina Pep, Klopp, Dean, Howe nk hivyo muwe tu na subira ndogo alete idea zake na zieleweke...
 
Aisee kesho fainali na wale wabrazil, naomba tu injury na ilness zipungue japo VVD, WIJ wakiongezeka hao plus waliocheza karibuni wajaliwe afya njema nafasi yetu itakuwa kubwa.

Lakini hata vvd tu akiwa fresh ina maana tutakuwa na milner, lallana, hendo, ox, keita afadhali kidogo.

ili kombe hatuna kwenye kabati letu, ikibidi tuliibe

Hasara Umfika Mwenye Mabezo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom