Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yaani nishatenga hela ya kuagiza jezi yenye ile badge ya world cup.

Nina uhakika mchina atakuwa fasta ku-duplicate, maana tar hizi OG ni ngumu.
Hahahaha buy OG kuchangia klabu yetu😂😂😂😂😂...

OG bei Kwa sasa zitakua hot cake Kwa vile ndio kwanza badge ya motooo ila zitapoa tu..
 
Kweli kipato huleta majigambo,siku hizi Kops mnakelele kuliko man utd na chelshit wakati wakiwa kwenye kilele cha mafanikio.
Binafsi nawasapoti kwa maana moja kuwa pep asilibebe 3x mfululizo,hii ni EPL na sio serie A wala league 1.
Hilo mpaka sasa linaelekea kutimia na upo uwezekano Pep akatimka endapo ataikosa UCL na huu upepo Wa kusulisuli Wa Klopp usipozimika...

Pep hakuletwe City kushndania EPL mbali aliletwa awape UCL na kila kukicha wanazidi kupagawa hata fainali hawafiki..

Kuhusu majigambo mtusamehe maana Kwa muda mrefu Sana mmetuonea Sana angalau na sisi ni wakati wetu mtulie hivyo hivyo..

Kutesa Kwa zamu..
 
Sahihi kabisa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pep hawezi kubeba UCL na City... hiyo team haina DNA ya hilo kombe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_6983.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu og wanauzaj hapa bongo kwetu? Nashida sana na ile kit nyeupe

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee Kwa bongo sifa hamu duka wanakouza OG... Labda umwagiza Mkuu MosDef yupo UK au nitamcheki jamaa yangu ambae hua ananichukulia anijuze Kwa sasa ni bei gani... Je wataka yenye jina na namba ya mchezaji au plain bila..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom