Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Dear Klopp play Keita as a 10 man at last we might see a glimpse of what we paid all the money for and after all the injuries he has some scores to settle...Kwenye game, baada ya Klopp kumtoa Bobby, akampeleka Keita as a 10, i think he's trying to test him there, as hata kipindi cha pili chote alikuwa anacheza at the tip of the front 3, huku akisaidia kublock Salzburg pressing game with his possessional passes (explained kwenye post ya juu).
his ball progression is second to none, if he stay injury free, then him & Salah will create a very deadly link up, and its siyo kwa bahati mbaya kwamba Salah ameanza kurudi kwenye form yake baada ya Keita kuingia kwenye first team, against Salzburg, Keita alimtengenezea chances kama 2-3, but zote akazimwaga.
Nina clip nzuri sana ya Keita, but nadhani hamna options ya ku-share clips humu, but tungeelezea his game agaist Salzburg bit by bit.
Sent using Jamii Forums mobile app
.....And we're winning the CL back to back.
Bet your plate of Chipsi Mayai & Peps ya bariiiiiiidi on it.
Sent using Jamii Forums mobile app
Man this is one of the best development at the back for us with Matip out and Lovren being Lovren we needed this guy to step up and give us what once we saw last season before he got injured..
Hahaha pangekua hapotoshi yaani ungepita Echo, the Express, Mirror, Sky nk...You nailed it
If klopp angemtafuta hendo, basi wiki nzima hii tungeona team praise and worship wakiimba mapambio
Too bad
Hahaha yaaani enzi hizo ndio ilikua Manchester vs Liverpool maana jamaa walikua na mafanikio balaa ila tukikutana ilikua mchakamchaka Sana...Duu, mechi ilikuwa na viatu hiyo, jamaa walinyimwa penalty ya wazi kabisa, refa alikuwa anasimama anasubiri wapigane kwanza, hahahah
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwa akili zako unategemea VVD aseme kuwa hendo sio chochote ama??View attachment 1288816
Upo kwako Kasulu-Kigoma unataka tukuamini wewe zaidi ya akina VVD
Upuuzi mtupu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sasa kwa nini wanatofautiana mshahara kama hamna anaye mzidi mwenzakeNa sisi na Klopp tunasema hakuna mchezaji aliyebora kuliko mwingine, tutaendelea kuwabadilisha hivyo hivyo. Hakuna aliyekuja kuchukua namba ya mwenzake! Utaratibu huu nauunga mkono asilimia zote!
Mbona January itapendeza! Takumi ndani ya Nyumba?
Grandpa may plan retirement at Leeds..The Grandpa.
Guess Klopp atam-recruit kwenye bench lake next season/au utakaofatia baada ya next season.
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio zimefutwa last season msimu huu unaendelea ulipopaachiaHivi zile sheria za kuzuia kucheza UEFA vilabu viwili kwa msimu mmoja zimeshafutwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
SuRe SuReThe Grandpa.
Guess Klopp atam-recruit kwenye bench lake next season/au utakaofatia baada ya next season.
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo grandpa HahahahahahahahahGrandpa may plan retirement at Leeds..
But his experience would be so welcome akibakia kwenye jopo la Klopp..
Hahahahaha if he can nail this year EPL bana and with the modern competition in the league now he will be nearing Bill Shankly and Paisley among the Liverpool all time greats..JURGEN NORBET KLOPP..
dont care about Bill shankly or Paisley..
THIS NAZI BASTARD IS THE BEST MANAGER TO EVER WALK UNDER THE ANFIELD LIGHTS.
HIS NAME IS NEEDED KWENYE STAND MOJA YA ANFIELD, THE KLOPP END.
HAHAHAHAHAHAHAHAJAHAJAJAJAHAHAHAJAHAHAHAJAHAHAJAHAJAJAJAJAJAJAJAHAHAHAHAHAHAHAJAHAHAJAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAJAJAHAJAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA
HOW YOU DOING??????????????????????
Sent using Jamii Forums mobile app
π€ π€ π€ πππ
Just wow.. One of the most loyal players to ever play for us...
[emoji1992][emoji1992][emoji1992][emoji1992][emoji1992][emoji1992][emoji1992][emoji102][emoji102][emoji102][emoji85][emoji85][emoji85] Wanamuita eti sasa ni world Class CP..
Mkuu Aaron Arsenal salama...Naona kama mmeshamchukua , waliweka release clause ndogo