Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

He got a strong heart, you got to give him that, tbh.

wont be having a problem na yeye ku-lift the Trophy in may, though anakuwa ame-play part ndogo sana uwanjani, lakini as a human being, he deserves the joy.

Aisee, Aisee, Aisee, huyo jamaa uliyemtaja hapo kwenye paragraph ya mwisho yupo humu bado? i remember nilimuweka kwenye my ignore list tangu last year, and mpaka nimemsahau kabisa, no wonder nilikuwa naona platform imechangamka kwa good & very positive heated discussions. hahaha! hope he's doing well though.
 
I think Trent is a generational talent.

amesha-prove hilo tayari.

a top top talent.


sky is the limit.
 
DANIEL AGGER.


hope atakuwepo Anfield, kushuhudia tukibeba Kombe, for the first time in 30 years.
 
God is Good.
 
I know, watu wanaweza kuona kuwa, i'm deluded or a bit carried away, but the truth is, The league is already a wrap.

Kama City wangekuwa good kama last season, then hii 14 points gap ingekuwa ni nothing, especially mapema kama hii ya December, but Man city ya msimu huu ipo so out of shape, injury ya mapema kabisa mwanzo wa msimu ya Laporte, ilitibua mipango yote ya Pep, na kikubwa ambacho kimeharibika at City ni Fernandinho kutoka eneo la DM kwenye upande wa CB, hivyo kuacha a big gap katikati, leaving Rodri ambae bado ana-adopt na speed ya EPL, watu wanaweza sema Pep spent a lot of money kwenye eneo la defense na ameshindwa kufundisha CBs wake ku-cope na kutokuwepo kwa Laporte, well thats wrong, Laporte is 2nd best CB kwenye EPL baada ya VVD, hata sisi (LFC), angeumia VVD mwanzo wa msimu tu, tusingekuwa hapa tulipo, because hata uwe kocha bora vipi huwezi kufundisha shit players kuwa good players. y'all remember tulivyokuwa tuna-ship in goals for fun kabla ya VVD? mpaka "smart" reds wakawa wanasema Klopp hawezi fundisha defense? & personally i wanted him to hire a defensive coach? lol kumbe tatizo lilikuwa ni shit CBs tuliokuwa nao (Lovren & Klavan and even Lucas at times), tatizo la Matip lilikuwa ni fitness tu, then baada ya kumnunua VVD kila kitu kikabadilika in a very short while.

So, tatizo siyo ku-coach shit players, tatizo ni kuwa na world class players kwenye team, Pep ana Stones na Otamendi as fit CBs, yet he's forced kuchezesha a DM kwenye hilo eneo kwasababu hawaamini CBs wake, ni kama vile VVD aumie afu Klopp amtoe Faby kwenye eneo la DM na kum-partner Lovren, ni lazima team ipoteane.

and, now they've lost Aguero too, make no mistake, angekuwepo leo, game isingeisha 2-1, he's that good.

On paper, City bado wana bigger squad than us, but we're so good as a TEAM now, especially kwa kikosi kidogo tulichonacho, na ubovu wa City msimu huu, umetupa ahueni kubwa sana hata ya kufanya rotation now, there is noway City will catch us now, No fucking way, hata kama tutakuwa na bad january, sidhani kama tutapoteza games zaidi ya 2, na pia sidhani kama City hawatapoteza game(s) hapa katikati, ndiyo kuna kipindi cha nyuma niliandika kuwa tunatakiwa kufika xmas/new year tukiwa na gap ya 15 points dhidi ya City, and to be honest, 14 points are just more than enough.

..and, naona Pep anaweza akaegemea zaidi kwenye CL, signings zozote watakazofanya January, zitakuwa ni kwaajili ya CL, because kwa league itakuwa ni too late, kama mpaka january points-gap ingekuwa ni 8-9 points, hapo SHIDA ingekuwepo, but kwa hizi 14 points, na wachezaji pia watakuwa washakata tamaa now, 14 points ni huge gap, considering we've got 2-3 easy games mpaka kufikia game ya Leicester then Spurs (ambapo nadhan kati ya hizi games, kuna moja tuta-drop points), but it wont hurt, as the gap is already bigger now, & City are not that good, this season.

And, for those, who are worried about Leicester, dont embarrass yourselves.
 
My Team against Salzburg?

Alisson-Trent-Gomez-VVD-Robertson/Wijnaldum-Henderson-Milner(Lallana/Shaqiri)/Mane-Salah-Firmino.


My Team against Watford?

Alisson-Gomez-Lovren-VVD-Milner/Gini-Keita-Ox/Shaqiri-Mane-Origi.


Whats yours??
 
Special shout-out to my brothers Don, Ngwaba & Zumbemkuu.


Thank you a lot for appreciating my posts & LFC-based intakes. it means a lot to me.

I'm so happy to have you guys on this particular thread, and me & other good reds on here, we appreciate everything positive mnachofanya kwenye hii thread, y'all should be so proud of youselves.

Blessings.
 
Ed, tangu aanze kuangalia Game of thrones, ndiyo kaacha kabisa kutupia zile after-match pictures zake za moto moto. hahaha!


Game of Thrones, best Tv series in history?

i liked, Breaking Bad na Lost pia..

Then kuna Tv series moja ya S.Korea inaitwa Secret forest, Aisee, y'all need to watch it, ni ya moto.
 

Ndo maana nasema tunatofautiana

Kwangu mimi mtu ata awe na elimu au cheo kipi, kama sikubaliani nae ni sikubaliani nae tu
Ata kama angekuwa kashakuwa kocha wa liverpool, siwez kuwa zezeta nikubali chochote atachosema, nawe pia inabidi ujifunze kuwaza wewe kama ww na usidanganywe na cheo,
Since niko Alpha High School form 5&6, nilikuwa napishana na mwalim wangu wa physics nyia za kufanya maswali japo majibu yalikuwa yaleyale, kilichokuwa kinamake sence kwangu kwake kilikuwa hakimake sence, na kigezo chake ni kuwa njia yangu ilikuwa rahisi sana na marking scheme yake haioneshi mgawanyo wa marks kama nilivyofanya, ila sometyms nikisingizia iyo njia nimeiona kwenye kitabu au nimefundishwa na prof anakuwa tayr kunisikiliza japo ni njia niliotunga

All in all, what makes sense to you wont make sence to others unless you open your mind, na sie kuwa mwenye profile kubwa hakosei
 
Mechi 3 za Mwisho kwa Capt Hendo:
1 goal
2 assists
Kiungo mwenye stats kama hizi bado unamlaumu kwa sababu gani?Unataka afanye nn sasa?
PUNGUZENI UPUUZI [emoji1436]‍♂️[emoji1436]‍♂️[emoji1436]‍♂️
 
I appreciate you broh mosdef [emoji120][emoji120][emoji120]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…