Henderson.
watu wanaosema i hate him, waangalie tena his cameo, yesterday.
that is Henderson, we want (at-least).
zile pass mbili kwenda kwa Mane, zilionesha kuwa ana uwezo wa kufanya hivyo vitu, anavyo in his locker, but for some reason huwa anaamua kuwa coward, and thats is because anajali zaidi player ratings na kusifiwa kwenye social media kuliko ku-take risks for the team
kama Mane angefunga zile chances, angekuwa ametoa two assists na kuisaidia team kuongeza GD, but next time kuona passes kama zile itakuwa ni feb au march, he's a coward, anaogopa ku-take risks.
hence, huwa anacheza hovyo kwenye roles zote anazopewa, i want him to express himself, play football without fear, dude always treat the ball like a grenade or kama kaona chui.
...and anatakiwa apunguze makelele, uwanjani, anaboa wenzake.
but, i swear to God, kama kwenye huu mwezi wote akicheza kama alivyocheza jana, i'll never talk a bad word about him, by the way, he always thrives kwenye 4231 or 442, so i hope switching to 4231 will help him a lot.
honestly, we need every single player to step up right now, and as a captain anatakiwa kuwa mfano as tunapoingia kwenye hii busy schedule.
He had a good cameo, y'day. i'm happy for him.