Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wakati mwingine hufanani kabisa na watu wa liverpool, liverpool ni timu ya watu waungwana sana duniani

Wanao tukana wachezaji wetu ndiyo waungwana?
By the way Mungu-Mtu wenu wa soka sasa ni points 14 clear!
Aibu
 
If we dont beat this fatigued & un-motivated City team to the TITLE this season, Then, God will never give us another clear opportunity ya kushinda hii TITLE.
We have WON the TITLE already.

now, the main focus should be breaking Arsenal's invicibles record, kama hiyo itashindikana, then hitting 100 points, wont be bad pia.

But, the League is already a wrap, haina haja ya kujipa wasiwasi.

City now, wanatakiwa wapoteze mchezo MMOJA tu katika games 22 zilizobaki ili wawe na chance ya TITLE, which is, kwa form yao ya sasa, sidhani kama hawatapoteza mchezo zaidi ya mmoja, they've got Arsenal/Leicester and Wolves next.

The TITLE race is mathematically done.
 
Man!! any transfer news on January yet?!
 
Well, the looong fight is paying off massively.


He has won us the LEAGUE TITLE in December.
 
Remember?


He has won us the LEAGUE in December.
 
Heard, Keita was a MOTM today?


Ahead of the curve.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…