Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Even today he tries his level best. That long straight pass to Ox prove something different. He show up his face and look at Ox.
Ametoa pass Safi ya goal.
 
Bado Keita hajaanza kucheza level ya juu kama alipokuwa kwenye peak kule Bundesliga. Asipoumia na akafikia kile kiwango basi kuna hatari ya starter mmoja kusugua bench!
Keita yule aliyekuwa kwenye peak 3 years ago namkubali kuliko hata Sadio Mane
The guy was on fire!!
 
Ni kikosi kizuri sana hicho ingawa nina wasiwasi na Gomez hapo.

Lol! Nilidhani ile Kadi ya Alison (Straight red card) ni suspended ya 3 matches au kuna mabadiliko ya sheria?
Watunga kanuni wanasema hiyo ban ya game 1 kwa Alison sababu faulo aliyoicheza haikumletea madhara makubwa mchezaj pinzani...la sivyo angesugua game 3.
 
Nawaombea zaidi suluhu maana city ni mpinzani wetu asiyetabirika huku Manyumbu ni timu nayoichukia ingawa hawanijui kama nipo duniani.
Habari yako bwana Ngwaba?

Habari ni nzuri (Njija) tu.

Man City si wa kumuombea Draw kwani sare itampa point 1 ambayo ni kubwa sana kwenye mpira.

Wacha Manure ashinde tu hii game as long as hana athari kwetu
 
Habari ni nzuri (Njija) tu.

Man City si wa kumuombea Draw kwani sare itamoa point 1 ambayo ni kubwa sana kwenye mpira.

Wacha Manure ashinde tu hii game as long as hana athari kwetu
Ila City anaonekana kutepweta sana game ya leo.
Na Manyumbu angekuwa anacheza game zote kama anavyocheza na the big six, basi angekuwa na msimu mzuri sana. Lakini sio mbaya, tumtumie huyu man kutupigia wapinzani wetu maana anaona sifa kuwafunga bila kujua anatusafishia njia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…