Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

I know in this thread

Ukisifia liverpool -hiyo point inamantiki kama inavosema

But if you go against liverpool -hiyo point inakuwa pumba

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mechi 3 zinazokuja kazi tunayo,, kama Adrian hatatulia haki ya nani twafa! Jana kuna moja ameitema almanusura aisukumizie wavuni! Najua mechi hizo pressure itakuwa juu sana kwetu mashabiki!

Najikuta namtetea Adrian kama jamaa humu wanaometetea Henderson.

For God's sake, hatujawahi kupoteza wala kutoa draw mechi aliyodaka Adrian.

Na msimu huu tuna cleansheet 2 tu na zote ni za Adrian.
 
Najikuta namtetea Adrian kama jamaa humu wanaometetea Henderson.

For God's sake, hatujawahi kupoteza wala kutoa draw mechi aliyodaka Adrian.

Na msimu huu tuna cleansheet 2 tu na zote ni za Adrian.

Watu wanasahau kama Adrian alitokea bench without warm up

Hata lile goli ukiangalia kwa makini it's just like karma (Barca corner) ... Adrian is good one
 
Watu wanasahau kama Adrian alitokea bench without warm up

Hata lile goli ukiangalia kwa makini it's just like karma (Barca corner) ... Adrian is good one

Yes, lile goli lilikuwa ile tunasema "caught off-guard".

Magoli ya namna ile ameyafunga Thierry Henry, mkiwa bado hamjajipanga goli linaingia.

Na ile kona yetu last time ilikuwa ya namna hiyo.
 
Najikuta namtetea Adrian kama jamaa humu wanaometetea Henderson.

For God's sake, hatujawahi kupoteza wala kutoa draw mechi aliyodaka Adrian.

Na msimu huu tuna cleansheet 2 tu na zote ni za Adrian.

Dah! Brother unavyomtetea Adrian nahisi kama unatania hivi!!!!

Sio siri nipo tayari golini akae Juma Kaseja kuliko Adrian.

Lakini kwavile Adrian ndiye Kipa pekee tuliyenae kwasasa basi ninamsupport kwa 100%.
 
I think this is a joke right?

Hivi toka Adrian amedaka Liverpool, tumepoteza mechi ngapi EPL?

How do we measure goalkeepers performance?
 
Hivyo Dully kumbe ni Sabato masalia? Mimi nikawa nafikri najibizana na shabiki mwenzangu wa Liverpool? Ha ha haaaa,, bora umelifurumusha!
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Eti sabato masalia
 
Isitoshe mara nyingi wachezaji ndo huhakikisha mpira haupigwi mpaka wa hakiki goli kipa kakaa kwenye nafasi yake.tumezoea kukariri majina ila kiukweli Alson hajiamini na ile kadi anastahili adhabu ya kukaa benchi mechi hata tano.

Ule utokaji ule angetoka Adriani mitusi ingekua mingi sana humu.
Lile kosa ni la kushtukizwa, golikipa yeyote anafungwa.

Hatujapoteza game kwenye ligi ambayo Adrian amedaka, na kama sijakosea ana clean sheet pia.

Adrian no golikipa mzuri kwa kikosi chetu.
 
Ni uzembe wa hali ya juu golikipa kupata kadi nyekundu namna ile.
 
Tukipata robo tatu ya pwent sie mabingwa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…