Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Huyu kipa yaani hatuna amani kabisa,anauzembe wa kijinga sana
Yap...ye Ni non-executive directorIs it Body of Directors?
Yap...ye Ni non-executive director
Ha ha haaaaa! Mkuu nilikuwa nimeelewa ila nilikuwa namtania tu jamaa yangu! Kwa kweli ilipaswa kuwa Board of Directors!Board. I think jamaa alimaanisha kukukosoa hapa ila ameelewa
Duuh ile slip bana ni gundu la ajabu sana...Gerrard alikuwa mtu na nusu, ni furaha kumtizama uwanjani, mpambanaji, muhamasishaji. Nilijisikia vibaya mnoo siku aliyoteleza demba ba anaenda kuweka msumali.
Aisee tangu mapema sana huyu bwana UNAI ulishasema hawafai atimke aisee na kweli kashapigwa KO...Nimerudi mkuu ,Jamaa alitaka tukimbie jf
Aaa hio UCL final hua sijawai choka kuitazama You Tube maaana ilikua done deal by Carlo kipindi cha kwanza lakini aisee walivyorudi kipindi cha pili ilikua noma sana yaaani its was epic no retreat or give up ni ku fight till the end... Kipindi hicho Ac Milan was the best team around challenging for top honours year in year out but us the under dogs defied to let's go nor succumb to yes its over even without trying...Ukisoma makala aliyoielezea UCL final 2005 unaona huyu ni binadamu na nusu.
Anakuambia HT kwenye dressing room watu walikata tamaa ukiwatizama usoni (facial expression) 1.wanacheza na team inayo wachezaji wa kiwango cha dunia 2. wapo nyuma 3-0 haikua kazi rahisi.
Gerrard anasema benitez hakuzungumza chochote dressing room (ni kama aliona imeisha ) Gerrard ndiye aliongea aisee",.
Anaendelea kusema niliwaambia hivi we are Liverpool twende tuwaoneshe sisi ni Liverpool twende tukapambane kuwaonesha kops who are we",.
aise our captain fantastic Stevie G",.
Binafsi yake alikua akiwaza kukabilia na Kaka kiungo mwenye ubora wa kila namna haikua jambo jepesi kukubali akilini na mwilini wanaweza kurudisha magoli matatu.
.
Shevely katika ubora wakeNahisi man City poteza point leo
And West Ham mahaba kama yote...NEWCASTLE UNITED NEWCASTLE UNITED
WE LOVE YOU
Keep waiting..Trust me mnapigika leo
It's was EPL kaka anything can happen..we're hanging on vs BHA. and it's at Anfield.
this is sooo ridiculous!!
Mkuu huyu kocha Wa BHA usimchukulie powa kazi yake wenyewe wameikumbali kama sikosei amepewa mkataba mpya Wa mpaka 2024..it's one of the poorest games we have played. it'll not surprise me if it ends up as a draw even a LFC defeat.
In a full season guys this scenarios are bound to happen.. Injuries, loss of form etc but inspite of all this goings we are still winning games though playing the so called ugly...Mechi na Napoli tuliambulia Injury tu ya Fabby leo pia tumeambulia redcard ya AB, kiwango kibovu kabisa
Hahaha HUYU JAMAA ni mtu wetu Sana hapa jamvini...Jamaa ndivyo alivyo, anaweza kukutoa kwenye msitari kumbe hamaanishi.
Ok [emoji16] typing error mkuuBoard. I think jamaa alimaanisha kukukosoa hapa ila ameelewa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] typing error mkuu ila pamoja nimekuelewa[emoji16][emoji16]Ha ha haaaaa! Mkuu nilikuwa nimeelewa ila nilikuwa namtania tu jamaa yangu! Kwa kweli ilipaswa kuwa Board of Directors!
Mkuu walikutag? Ha ha haaa,, Manure kazi mnayo mkisindikizwa na Chealsick!Mkishinda nitag
we're hanging on vs BHA. and it's at Anfield.
this is sooo ridiculous!!