






wewe wasemaDah... Hivi broh upo sawa kichwani
Haya sio maneno ya kuongea binadamu wa kawaida
kabisa kabisa kaka...that's what we're praying for.Shinda mkuu Klopp sio kocha Wa hizo mbinu za kutafuta draw, the guy always goes for the 3 points no matter what's..
Time and formation on that day will tell..
Na mechi yenyewe inachezwa mapema saa mbili sio mida kama ya Leo...
90% ya game ya mwisho dhidi ya RB Salzburg tunapigwa. Jamaa wana goal difference ya 5+ sisi tuna 3+. Kama wakitupiga watatuzidi kwa tofauti ya magoli.a point vs RB Salzburg and we will be through. and we will be, I have no slightest dought!
View attachment 1274769
a point vs RB Salzburg and we will be through. and we will be, I have no slightest dought!
View attachment 1274769
90% ya game ya mwisho dhidi ya RB Salzburg tunapigwa. Jamaa wana goal difference ya 5+ sisi tuna 3+. Kama wakitupiga watatuzidi kwa tofauti ya magoli.
Hii game ni ngumu sana kwetu. Wallah tunavuliwa ubingwa mapema mno, kwenye group stage!
Tunaelekea Europa. Aibu...
Group stage kuna head to head count???? Wakat gor difference anakuzid,Ni head to head count. Wao tulitoka nao 4 kwa 3. Inabidi wasitufunge. Labda iwe 5 kwa 4 ndo tutapita.
Game ya mwisho tunaweza kushinda au kudraw Away na tukasonga mbele
am not worried at all. tutavuka kuingia last 16 am 100% certain based on our track record.90% ya game ya mwisho dhidi ya RB Salzburg tunapigwa. Jamaa wana goal difference ya 5+ sisi tuna 3+. Kama wakitupiga watatuzidi kwa tofauti ya magoli.
Hii game ni ngumu sana kwetu. Wallah tunavuliwa ubingwa mapema mno, kwenye group stage!
Tunaelekea Europa. Aibu...
Ni head to head count. Wao tulitoka nao 4 kwa 3. Inabidi wasitufunge. Labda iwe 5 kwa 4 ndo tutapita.
sawa but sisi ni LFC.Huyo salzburg siyo kama man u.... Japo mlimfunga match iliyopita ila hiyo match ijayo itakuwa ngumu sana sababu hata yeye anajua akishinda basi ataqualify...
Group stage kuna head to head count???? Wakat gor difference anakuzid,
Mbaya zaid table itamove automatic
sawa but sisi ni LFC.
for many years we relish on this kinda stuff, baby!
Ila hiyo match haitokuwa nyepesi hata kidogo...